Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Labda wajuzi watatwambia.Itakuwa basata na cosota ndo husimamia kazi zao pamoja na ndugu zao
Punde nilikuwa nasikiliza Wimbo wa Sam Wa ukweli uitwao "Sina Raha" kama njia ya utafiti niliokuwa nafanya.
Mimi kanjanja kama wewe tu.Wewe kama wakili, inakuwaje haufahamu?
Nami nataka kujua coz TZ nchi ya mengi kuungwa ungwa na ujanja mwingi kutapeli wengine
Kuna warithi mkuu,Punde nilikuwa nasikiliza Wimbo wa Sam Wa ukweli uitwao "Sina Raha" kama njia ya utafiti niliokuwa nafanya...
Hao youtuber wanafanya makosa, na hairuhusiwi kisheria kuuchukua wimbo wa msanii na kuuweka kwenye chanel yako, Msanii ananufaika moja kwa moja kwenye digital platform kama YouTube kwamaana ya idadi ya streaming&download,so ni kazi ya msanii kuhakikisha wimbo wake unakaa kwenye chanel yakeYale matangazo makubaliano yakoje. Maana inawezekana "Youtuber" analipwa na YouTube Sasa Hadi warithi wapate gawiwo lao inakuwaje!!??
Mfilisiti
Safi.Hao youtuber wanafanya makosa, na hairuhusiwi kisheria kuuchukua wimbo wa msanii na kuuweka kwenye chanel yako, Msanii ananufaika moja kwa moja kwenye digital platform kama YouTube kwamaana ya idadi ya streaming&download,so ni kazi ya msanii kuhakikisha wimbo wake unakaa kwenye chanel yake
Na pia cha kuongezea Allen Kilewella youtube wana mfumo wa kugundua maudhui yenye hati miliki, unaitwa Content ID.Hao youtuber wanafanya makosa, na hairuhusiwi kisheria kuuchukua wimbo wa msanii na kuuweka kwenye chanel yako, Msanii ananufaika moja kwa moja kwenye digital platform kama YouTube kwamaana ya idadi ya streaming&download,so ni kazi ya msanii kuhakikisha wimbo wake unakaa kwenye chanel yake
Kabisa....Kwa maana kwenye burudani dhuluma ni kitu cha kawaida Sana.
Mirabaha ya wasanii waliotangulia mbele za haki ni sehemu ya mirathi kwa warithi wake kwa muda wa miaka 50 tangu kifo kitokee kwa msanii.Punde nilikuwa nasikiliza Wimbo wa Sam Wa ukweli uitwao "Sina Raha" kama njia ya utafiti niliokuwa nafanya.
Kwenye "YouTube" wote waliouweka Wimbo huo, kulikuwa na matangazo mbalimbali kwenye channel hizo za YouTube.
Likanijia wazo kuwa wasanii waliokufa kazi zao zinapotumiwa na watu mbalimbali jee hupata mirabaha?
Msanii akifa haki za kazi zake husimamiwaje?
Na mimi hii ndiyo hofu yangu!!Kibongobongo watu kuleee jikoni wanapita nayo
Wasanii hawalipwi moja kwa moja bali wenye hatimiliki ndio wanalipwa ili wawalipe wasanii. Na hapo ndipo mziki na biashara yake ulipo.Punde nilikuwa nasikiliza Wimbo wa Sam Wa ukweli uitwao "Sina Raha" kama njia ya utafiti niliokuwa nafanya.
Kwenye "YouTube" wote waliouweka Wimbo huo, kulikuwa na matangazo mbalimbali kwenye channel hizo za YouTube.
Likanijia wazo kuwa wasanii waliokufa kazi zao zinapotumiwa na watu mbalimbali jee hupata mirabaha?
Msanii akifa haki za kazi zake husimamiwaje?
Msanii akifa kazi zake za Sanaa zote zinarithiwa kama Mali za marehemu nyingine tu ,mfano ni Bob Marley watoto wake sa hivi ndo wanasimamia kazi zake na Hadi Wana account za social media za bob Marley na Twitter na kwenye list ya wasanii marehemu wanaopiga pesa nyingi kwenye mauzo ya kazi zao uwa Bob na Michael Jackson lazima wawepo.Punde nilikuwa nasikiliza Wimbo wa Sam Wa ukweli uitwao "Sina Raha" kama njia ya utafiti niliokuwa nafanya.
Kwenye "YouTube" wote waliouweka Wimbo huo, kulikuwa na matangazo mbalimbali kwenye channel hizo za YouTube.
Likanijia wazo kuwa wasanii waliokufa kazi zao zinapotumiwa na watu mbalimbali jee hupata mirabaha?
Msanii akifa haki za kazi zake husimamiwaje?
Cc Petro E. MselewaMimi kanjanja kama wewe tu.
Bush Lawyer at the kangaroo Court!!