Nani huchukua mirabaha ya wasanii waliofariki?

Nani huchukua mirabaha ya wasanii waliofariki?

Si
mshamba_hachekwi Asante Kwa maelezo ya "Content ID" ingawa nina shaka kama wasanii wetu wengi wako vizuri kwenye eneo la kulinda haki zao hata baada ya kifo.
Sikuhizi wapo vizuri tofauti na zamani ndo maana sahivi utawaona artists wanapesa nyingi kwa sababu ile streams za mapato ya kazi zao karibia yote yanapitia mikononi mwao,zamani wakina lady jay Dee wamepigwa sana aswa upande WA digital platforms ukichunguza kazi zao nyingi za Sanaa walizofanya hazipo kwenye mikono Yao nikimaanisha hazipo kwenye digital platforms zao,
 
Punde nilikuwa nasikiliza Wimbo wa Sam Wa ukweli uitwao "Sina Raha" kama njia ya utafiti niliokuwa nafanya.

Kwenye "YouTube" wote waliouweka Wimbo huo, kulikuwa na matangazo mbalimbali kwenye channel hizo za YouTube.

Likanijia wazo kuwa wasanii waliokufa kazi zao zinapotumiwa na watu mbalimbali jee hupata mirabaha?

Msanii akifa haki za kazi zake husimamiwaje?
Umenikumbusha mbali sana 2010 ndo nafikisha 20 years iyo ngoma ilibamba sana sina raha halafu kulikuwa mwaka huo mama natalie ray c, linah nimecheka na vituko, sababu ya ulofa top c, mwamba Sajna Iveta na hii mwili natamani nafsi natamani.
 
Punde nilikuwa nasikiliza Wimbo wa Sam Wa ukweli uitwao "Sina Raha" kama njia ya utafiti niliokuwa nafanya.

Kwenye "YouTube" wote waliouweka Wimbo huo, kulikuwa na matangazo mbalimbali kwenye channel hizo za YouTube.

Likanijia wazo kuwa wasanii waliokufa kazi zao zinapotumiwa na watu mbalimbali jee hupata mirabaha?

Msanii akifa haki za kazi zake husimamiwaje?
Swali la kwanza lingekuwa je, hao wasanii wana hakimiliki za hizo nyimbo? Watu huwa wanafikiri kuwa msanii akiimba wimbo/nyimbo basi automatically anakuwa na hakimiliki. Haiko hivyo.
 
Dunia ya ubepari haina huruma na wewe au Familia yako.
Swali alikuwa ana haki miliki za hizo nyimbo? Kuimba nyimbo au kutunga haikupi haki miliki kwa 100%.
Je hizo nyimbo cosota zimesajiliwa kwa jina la Nani? Je mirathi ya MAREHEMU walitambua hizo nyimbo kama sehemu ya mali za MAREHEMU? Kifupi hili ni funzo kwa wasanii watumie wanasheria kuweka mambo Yao Sawa kwa maana kwenye burudani dhuluma ni kitu cha kawaida Sana.

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Sahihi kabisa.
 
Wasanii Wa Tanzania wanaishia kuishi katika umasikini hadi kutoka nje wanaogopa , kazi zao zinaibiwa ikiwa bado hawajafa.

Ebu tazama MTU Kama saida karoli na mtazame Ferooz wote hawa hakuna walichopata katika muziki japo waliimba nyimbo zilizokuwa national Anthem its hell.

Kwa upande wa marehemu itakuwa hawapati hela Kama hela wajanja itakuwa wanapiga tu pesa.
 
Back
Top Bottom