Extra miles
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 3,652
- 4,972
Kama alikuwa na Estate plan inawezekana. Ila kwa TZ wasanii wengi hawana uelewa na hivi vitu na ndio maana wajanja kama Spice/Ziiki, Ngomma, Slide au SmileSasa wanapiga pesa.Itakua warithi wao,
mirabaha nayo si mali au nakosea?
Sikuhizi wapo vizuri tofauti na zamani ndo maana sahivi utawaona artists wanapesa nyingi kwa sababu ile streams za mapato ya kazi zao karibia yote yanapitia mikononi mwao,zamani wakina lady jay Dee wamepigwa sana aswa upande WA digital platforms ukichunguza kazi zao nyingi za Sanaa walizofanya hazipo kwenye mikono Yao nikimaanisha hazipo kwenye digital platforms zao,mshamba_hachekwi Asante Kwa maelezo ya "Content ID" ingawa nina shaka kama wasanii wetu wengi wako vizuri kwenye eneo la kulinda haki zao hata baada ya kifo.
Umenikumbusha mbali sana 2010 ndo nafikisha 20 years iyo ngoma ilibamba sana sina raha halafu kulikuwa mwaka huo mama natalie ray c, linah nimecheka na vituko, sababu ya ulofa top c, mwamba Sajna Iveta na hii mwili natamani nafsi natamani.Punde nilikuwa nasikiliza Wimbo wa Sam Wa ukweli uitwao "Sina Raha" kama njia ya utafiti niliokuwa nafanya.
Kwenye "YouTube" wote waliouweka Wimbo huo, kulikuwa na matangazo mbalimbali kwenye channel hizo za YouTube.
Likanijia wazo kuwa wasanii waliokufa kazi zao zinapotumiwa na watu mbalimbali jee hupata mirabaha?
Msanii akifa haki za kazi zake husimamiwaje?
Tamka HAKIMILIKI. Unaposema hatimiliko unamaanisha kiwanjaWasanii hawalipwi moja kwa moja bali wenyehatimilikindio wanalipwa ili wawalipe wasanii. Na hapo ndipo mziki na biashara yake ulipo.
Swali la kwanza lingekuwa je, hao wasanii wana hakimiliki za hizo nyimbo? Watu huwa wanafikiri kuwa msanii akiimba wimbo/nyimbo basi automatically anakuwa na hakimiliki. Haiko hivyo.Punde nilikuwa nasikiliza Wimbo wa Sam Wa ukweli uitwao "Sina Raha" kama njia ya utafiti niliokuwa nafanya.
Kwenye "YouTube" wote waliouweka Wimbo huo, kulikuwa na matangazo mbalimbali kwenye channel hizo za YouTube.
Likanijia wazo kuwa wasanii waliokufa kazi zao zinapotumiwa na watu mbalimbali jee hupata mirabaha?
Msanii akifa haki za kazi zake husimamiwaje?
Sahihi kabisa.Dunia ya ubepari haina huruma na wewe au Familia yako.
Swali alikuwa ana haki miliki za hizo nyimbo? Kuimba nyimbo au kutunga haikupi haki miliki kwa 100%.
Je hizo nyimbo cosota zimesajiliwa kwa jina la Nani? Je mirathi ya MAREHEMU walitambua hizo nyimbo kama sehemu ya mali za MAREHEMU? Kifupi hili ni funzo kwa wasanii watumie wanasheria kuweka mambo Yao Sawa kwa maana kwenye burudani dhuluma ni kitu cha kawaida Sana.
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Kumradhi, ni hakimilikiTamka HAKIMILIKI. Unaposema hatimiliko unamaanisha kiwanja