Nani humu unataka kumuambia nini?

Nani humu unataka kumuambia nini?

1728464081894.jpg
 
Out of mada

Kuna mtu alianzisha uzi kwamba eti kwann jamiiforum haina ads halafu saivi naona kuna ads za vodacom kwahiyo tunaona huyo mtu kasikilizwa ,
lakini kuna wengine wanaripoti kila siku matatizo yao kwamba pm hazifunguki hawasikilizwi kwa nini?
 
Back
Top Bottom