Nani hununua vitu vya watu mashuhuri wa Tanzania?

Huku kwetu hakuna mwenye akili za kwenda kutazama mauchafu uko museum ...tunajielewa. puuuuuuuuuuuuuuuu
Pole sana, hata katika ngazi ya familia yako, huwezi kufanya maenedelo yoyote bila kufahamu ulikotoka. Hata ukijitahidi ukayafanya, yataishia kwako kama wanao wataridhi tabia yako. Hebu angalia hapo Tanzania watu ambao wanajali mila zao, kila mwisho wa mwaka wako vijijini kwao, wana maendeleo gani ? Jilinganishe na wewe ambaye hutaki hata kupiga simu kijijini kwenu kumsalimia Mama yako.
 
Sio vya mamilion tu!
Bongo hakuna mashabiki ila mashabiki maandazi!!

Iko wapi wasafi.com?
Zile nyimbo zilikua zinauzwa mamilion?

Si ilipoanza nyimbo zao ilikua hakuna kuweka kwenye free website?
ila Sasa je?
Wasafi.com imekosa usimamizi wewe eti CEO ni Romy Jones kwa uwezo upi alionao wa kusimamia hiyo platform? Bongo tatizo kujuana kwingi hivi angetafuta mtu professional mwenye uzoefu na uelewa wa kuendesha website kama hiyo angekufa?
 
Hiyo ni debate inayohitaji separate thread kabisa....

Ila for sure huwezi nipa sentimental value mzee.....ni value ya kufikirika!
Mimi dhahabu hata sioni thamani yake hata iweje. Lakini hata hayo mashairi yakipata wateja wake ndiyo yanakuwa na thamani. Thamani huja si kutokana na kitu chenyewe chenye thamani bali kutokana na hisia ya watu kuhusu kitu hicho, uchache na upekee wake.
 
Kitu kina thamani kwa mtumiaji,wewe sio mtumiaji wa dhahabu,haimaanishi hakuna thamani kwa wengine...

Too bad gold standard ndio inatumiwa na dunia to back up your currency...

Ni vizuri ukaenda Geneva ukawaambia waondoe huo upuuzi waweke hayo mashairi yako kama backup value...otherwise get on with the program,hutaki hama dunia nenda Mars!
 
Too bad gold standard ndio inatumiwa na dunia to back up your currency...
Sitak kuleta mjadala wa "fiduciary Money" hapa. Lakini thamani ya dhahabu haiko kwenye kila kitu na ndiyo maana thamani yake haiko kila mahali. Kwenye sanaa Mashairi yana thamani kubwa sana!!
 
Siwezi nunua kitu ambacho sina matumizi nacho kipato changu kinatosha kufanya matumizi ya msingi tuuu.... na bia mbili tatu.
 
Wasafi.com imekosa usimamizi wewe eti CEO ni Romy Jones kwa uwezo upi alionao wa kusimamia hiyo platform? Bongo tatizo kujuana kwingi hivi angetafuta mtu professional mwenye uzoefu na uelewa wa kuendesha website kama hiyo angekufa?
Alisema masanja hela izungukage humo humo kwenye ukoo[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ingawa ukiacha hilo mwamko kwa Wabongo kununua kazi za wasanii wetu ni mdogo sana!

Diamond awe makini kama akileta hayo Hata kwenye TV Na radio haitakua poa!
 
Siwezi nunua kitu ambacho sina matumizi nacho kipato changu kinatosha kufanya matumizi ya msingi tuuu.... na bia mbili tatu.
Una hakika kila kitu ulicho nacho una matumizi nacho? Maana kuna watu wana simu za iPhone lakini hawana matumizi nazo ingawa wenyewe wanadhani wana matumizi nazo!!
 
Sitak kuleta mjadala wa "fiduciary Money" hapa. Lakini thamani ya dhahabu haiko kwenye kila kitu na ndiyo maana thamani yake haiko kila mahali. Kwenye sanaa Mashairi yana thamani kubwa sana!!

Duh,mshua...kila kitu kina value...sema zinatofautiana significance zao....

Nimechoka sana pale unaposema Mashairi yana thamani sana kuliko dhahabu...nikajua umesahau hii ina-apply kwako tu na sio kwa sisi sote huku...kikwako ni sawa...kikwangu sio kweli...na kwa hilo tupeane nafasi...

Shule From 1 tulijifunza simple definition kabisa "Value is anything which have utility"...sasa hadi mavi yana value yake...

Mambo ya value ipi inamzidi nani mwenzangu ni ugomvi ambao hatutafika mwisho..

Kama tuna-agree currency can literarily buy anything,na wakati huohuo currency ipo backup up na hard gold standard,sasa sijui wewe mvuja jasho mwenzangu huku mavumbini ni nani mpaka useme gold haina thamani...
 
Una hakika kila kitu ulicho nacho una matumizi nacho? Maana kuna watu wana simu za iPhone lakini hawana matumizi nazo ingawa wenyewe wanadhani wana matumizi nazo!!

Nna uhakika coz mi ni mbahili kupita maelezo🙈🙈🙈
 
Nimechoka sana pale unaposema Mashairi yana thamani sana kuliko dhahabu...
Ukisoma ninachoandika kabla kuandika kwa kudhani unajibu nilichoandika kumbe sikuandika ivo, utanielewa. Kwanza sijasema mahali popote pale kwamba mashairi yana thamani kuliko dhahabu na sijabisha kwamba dhahabu inatumika dunia nzima kupima utajiri wa serikali na nchi ambao ndio huamua thamani ya fedha ya nchi husika.

Lakini ninachosema ni kwamba kwangu mimi nikiwa na hela halafu kukawa na dhahabu mbele yangu na shairi lililoandikwa kwa mkono wa Shaaban Robert, basi mimi nitanunua shairi badala ya dhahabu.

Hizi ndio zilikuwa fedha za zama hizo, wakati huo zilikuwa na thamani kuliko dhahabu. Kwa uchumi wa sasa hata Marekani imeacha kutumia dhahabu kama kipimo kinachoamua thamani ya Dola yao. Marekani wanadai dola zilizoko mtaani wenyewe wakizirudisha kwenye Benki Kuu yao hakuna dhahabu ya kulingana thamani na dola walizo nazo.

Kidunia dhahabu ina thamani kubwa sana kuliko Mashairi ya Shaaban Robert!!
 
Nishaelewa....wewe ni mtu wa Sentimental Values.

Im a part of the problem kwa kutokukuelewa...

Hey you free to whatever value you want...its you....enjoy!
 
miaka ya nyuma rafiki yangu alianzisha kiwanda cha wine akanipa moja kwa heshima yake nikaiweka sebuleni kila mtu awe anaiyona na nikamwambia nitaiweka kwa miaka mingi sana kama kukumbuka kazi nzuri alizowahi kufanya.
niliweza kuiweka kwa zaidi ya miaka mitano lakini bwana alikuja mbabe mmoja akaichukua akanilipa 50,000/- kwa kweli niliumia japo ndo ilikuwa ishaondoka.
tunahitaji kujifunza si lazima tununue kwa bei kubwa bali ziwepo taratibu ya kutunza na kwa hapa ianzie kwa wahusika kuanza kutunza kazi zao wenyewe kwa lugha nyingine lazima wawe na maktaba ya kazi zao.
 
Hili ni wazo zuri sana!
 
Nishaelewa....wewe ni mtu wa Sentimental Values.
Nashukuru kwa kunielewa. Ila huwa sielewi ni kwa nini hivyo vitu vyenye "Real value" huporomoka thamani yake na wakati mwingine hugeuka na kuwa na "Sentimental Value" kwa maana thamani yake huwa kwa baadhi ya watu tu!!

Hivi zama hizo kuna watu walijua "Hela" walizokuwa wanazitumia zitaishia kuwekwa kama ukumbusho badala ya kutumika na thamani yake kugeuka "sentimental?"
 
Mkuu...bagadabagada,yadah yadah yadah ,blah blah blah,....hureeee!

Enjoy yourself sir!
 
Tuko bize na kukimbizana na ugali wetu wa kila siku.
Hao uliowatolea mifano na wengineo, kama wangekuwa wanajulikana kimataifa, ingekuwa rahisi kwa kazi zao au vitu vyao kupata sentimental values kama wenzao wa "duniani"
Kwa hapa bongo tuache kwanza tuwaondoe wapinzani tutulie. Wanatupa shida sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…