Nani huwafundisha mabinti sanaa ya kukata viuno?

Nani huwafundisha mabinti sanaa ya kukata viuno?

Mkuu unaonekana huna uzoefu, pita na wasichana/ wa Kanda ya ziwa au kaskazini uone walivyo wazito (gogo) ndipo utajua.....yaani ni kumvua chupi, kifo Cha mende basi! Hajui chuma mchicha! Hajui kuendesha farasi! na ukibahatika ukimpandisha juu,yeye ni kutikisa kichwa tu! Badala ya kiuno. In short baadhi yao wanaboa..
Kwanini marais wengi , matajiri na watu maarufu wanaoa wachagga na hapo hapo wachagga wanalalamikiwa kuwa ni wazito kitandani?

Ukiona mti unapigwa mawe jua una matunda.
 
Kuna binti wa watu kabla hatujakutana alikua ananiahid kua niwe tyari kwa mauno ya hatari
Aisee tunafika kwenye mtanange nashangaa mauno anayokata ....anakata utadhani Yuko kwenye bembea ya watoto ile anasukumwa kwenda mbele na nyuma ..nili mind sana mjinga yule binti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Uwiii mbavu zangu.
 
Salaam

Kukatika ni sanaa nzuri sana imfurahishayo mwanaume wakati akila tunda. Miaka ya nyuma sanaa hii ilikua inafundishwa na watu maalum kwa baadhi ya makabila.

Kwa sasa inafanywa na wasichana na wanawake wa makabila yote tena bila kupitia mafunzo hayo yaliyokuwa yakitolewa kwa wasichana maalum, mahali maalum na kwa vipindi maalum.

Sasa siku hizi ukibahatika kupata baadhi ya wasichana/wanawake kutoka kabila lolote wengi wanaijua Sanaa hii vizuri sana tu. Hususan wasichana wangi Kati ya miaka 19 na kuendelea. Tena wanajua kwa viwango vya juu Sana.

Je, wanafundishwa na nani?

Wanafundishiwa wapi?
Wanaona kwenye singeli
 
Back
Top Bottom