Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
Kwa maelezo inaonekana we bado huna maujanja kabisa ...We c wa kaskazini kweli ?Kwani hupendi mauno mkuu? Sidhani kama wote wanafundishwa bana ila mpaka mtu anakata viuno mi naona ni kutokana na ile feeling anayoipata kwa muda huo wa tendo. Ni kama hutokea automatically hivi.
Pia kuna hizi stories "usiwe kama gogo jitume! So mtu anaona kujituma ni pamoja na kuyarudi mauno zaidi.