Nipe maana sred kwanza ndio kitu gani? Msijitungie tungie misamiati isiyo na tijaMkuu mbona hilo neno tayari limechukua nafasi yake humu jf.
Wakitumia maneno waliyoyakuta kutakuwa hamna mabadiliko ya nyakati, na misamiati
Yani ww umenisemeaaaa mkuu...mi namchukia troll jf juzi kapigwa ban kule kwenye jukwaa letu la siasa yaani mpaka leo nafuraha..... jamaa kaisha nisababishia hasara sana kutokana na mada zake, i wish angepigwa hata ban ya mwaka mzima
[emoji3][emoji38][emoji38][emoji38][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Nachukia ile ID inayotumiwa na le mutuz inaitwa Cocochanel ambayo kila kitu ni makonda oyeee
Lexus Mayai
Duhh.....[emoji15] [emoji15]Habari wakuu...
Katika maisha yangu ya jf mtu nimekuwa nikimpenda sana wa kwanza kabisa ni joseverist(sijui nimekosea) napenda kumhta muuza mitumba wa boma
Mtu ambaye nimekuwa simpend jamaa mmja anajiiita USHIMEN..kuna siku moja alikuwa analeta busara kwenye mambo yasiyomhusu simpendi hadi leo..
Hivi mwana jf gani unampenda na nani umpendi toa SABABU??
Naanza kampeni ya kupambana na wahenga wa JFHabari wakuu...
Katika maisha yangu ya jf mtu nimekuwa nikimpenda sana wa kwanza kabisa ni joseverist(sijui nimekosea) napenda kumhta muuza mitumba wa boma
Mtu ambaye nimekuwa simpend jamaa mmja anajiiita USHIMEN..kuna siku moja alikuwa analeta busara kwenye mambo yasiyomhusu simpendi hadi leo..
Hivi mwana jf gani unampenda na nani umpendi toa SABABU??
Duhh...[emoji47] [emoji47]
Akikujibu naomba unitag...[emoji2] [emoji2]Hizi siredi za kuchunuku watu mbona kama zimeongezeka hivi...!!
Kuna jambo gani nyuma ya pazia?
Akikujibu unitag aiseeeeunaanzaje kumchukia mtu usiyemjua?
Jf bhanaaaaa......[emoji13] [emoji13] [emoji13]Nawapenda wote simchukii yeyote humu, why umchukie mtu usiemjua au hata kumfaham? Inashangaza
Madame S
Naomba niunge mkono hoja tafadhali.Kumchukia mtu au kuchukia Avatar..??
Nadhani ingekaa poa sana kama ungesema " Avatar gani unaichukia hapa Jf" ?
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]Thread za kishoga naona zinaanza kushika kasihumu. Kweli mtu wa kiumeni unaleta habari za nani unampenda nani humpendi
Absolutely......Khahahahaaa.....
We are all use the same brain but different way of thinking.
Sie ndio wenye jiji letu na Mabrouk Mbunge wetuHaha Du hebu niambien ninyi ni nani
Serikalin maana hata mis Lincoln alisema naye yupo tanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikufanyaje bibie mpaka unamchukia hivyo??
Good hearted woman,hongeraJamani Najua kumchukia mtu ni vibaya,lakini nilitokea kumchukia mdokela alikuwa akinikuta nimecomment katika thread yoyote basi yeye anaandika comment za matusi dhidi yangu mpaka Leo sijajua kosa langu ni nini,mbaya zaidi ikafika mpaka pm,uvumilivu ukanishinda ikabidi nimripoti mara 10 kwa kila pm yake kwa mods. Good thing Wakampa onyo kwamba nikipeleka malalamiko tena dhidi yake atafungiwa id yake,ameacha now days.
After while akaja andika Uzi,kumbe ilikuwa na stress za nyumbani kwake na mke wake.
I chose to forgive him from that day.
asee kuna kada mmoja mtiifu wakujiita Troll JF .huyu jamaa ubongo wake kama umeenda upande, anavicoment flani vya maudhi huwa kwakweli nachukia michango yake.
[emoji23] [emoji23] nikiona thread yake wala hata sijisumbui kuifungua maana najua nikifanya hivyo nitaishia kuumia na mahasira kwa mtu usiyemfaham na ukisema umjibu kulingana na ghadhabu unakula ban...Mimi huwa namquote kwa kumpa za uso kabisa, mara nyingine huwa hanijibu maana anamua bora augulie kimya kimya