Nani JF unampenda na haumpendi toa sababu

Nani JF unampenda na haumpendi toa sababu

mi namchukia troll jf juzi kapigwa ban kule kwenye jukwaa letu la siasa yaani mpaka leo nafuraha..... jamaa kaisha nisababishia hasara sana kutokana na mada zake, i wish angepigwa hata ban ya mwaka mzima
Yani ww umenisemeaaaa mkuu...
 
Habari wakuu...
Katika maisha yangu ya jf mtu nimekuwa nikimpenda sana wa kwanza kabisa ni joseverist(sijui nimekosea) napenda kumhta muuza mitumba wa boma

Mtu ambaye nimekuwa simpend jamaa mmja anajiiita USHIMEN..kuna siku moja alikuwa analeta busara kwenye mambo yasiyomhusu simpendi hadi leo..

Hivi mwana jf gani unampenda na nani umpendi toa SABABU??
Duhh.....[emoji15] [emoji15]
 
Naanza kampeni ya kupambana na wahenga wa JF
 
Nawapenda wote simchukii yeyote humu, why umchukie mtu usiemjua au hata kumfaham? Inashangaza

Madame S
Jf bhanaaaaa......[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Raha sana aiseeeee.....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kumchukia mtu au kuchukia Avatar..??
Nadhani ingekaa poa sana kama ungesema " Avatar gani unaichukia hapa Jf" ?
Naomba niunge mkono hoja tafadhali.
Kuna member kadhaa wamewahi kuniambia wazi kwamba, wanaichukia sana avatar yangu....[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Jamani Najua kumchukia mtu ni vibaya,lakini nilitokea kumchukia mdokela alikuwa akinikuta nimecomment katika thread yoyote basi yeye anaandika comment za matusi dhidi yangu mpaka Leo sijajua kosa langu ni nini,mbaya zaidi ikafika mpaka pm,uvumilivu ukanishinda ikabidi nimripoti mara 10 kwa kila pm yake kwa mods. Good thing Wakampa onyo kwamba nikipeleka malalamiko tena dhidi yake atafungiwa id yake,ameacha now days.

After while akaja andika Uzi,kumbe ilikuwa na stress za nyumbani kwake na mke wake.
I chose to forgive him from that day.
 
Good hearted woman,hongera

Good Neighbour
 
asee kuna kada mmoja mtiifu wakujiita Troll JF .huyu jamaa ubongo wake kama umeenda upande, anavicoment flani vya maudhi huwa kwakweli nachukia michango yake.

Mimi huwa namquote kwa kumpa za uso kabisa, mara nyingine huwa hanijibu maana anamua bora augulie kimya kimya
 
Mimi huwa namquote kwa kumpa za uso kabisa, mara nyingine huwa hanijibu maana anamua bora augulie kimya kimya
[emoji23] [emoji23] nikiona thread yake wala hata sijisumbui kuifungua maana najua nikifanya hivyo nitaishia kuumia na mahasira kwa mtu usiyemfaham na ukisema umjibu kulingana na ghadhabu unakula ban...
 
Back
Top Bottom