LadyAJ
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 7,173
- 9,642
Nipe maana sred kwanza ndio kitu gani? Msijitungie tungie misamiati isiyo na tijaMkuu mbona hilo neno tayari limechukua nafasi yake humu jf.
Wakitumia maneno waliyoyakuta kutakuwa hamna mabadiliko ya nyakati, na misamiati
Sent using Jamii Forums mobile app