Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Mpira una Matokeo matatu kila Matokeo ni FAIDAKufaidika kwenye nini embu fafanua,nani kakwambia kufungwa kuna faida?
Wapenda Michezo wote TUACHE Ushabiki Tuzungumze Ukweli juu ya Matokeo ya Michezo miwili iliyochezwa jana na Vilabu Vyetu Vikubwa kabisa Nchini SIMBA na YANGA.
YANGA ilicheza na RIVERS ya NIGERIA huko Nigeria na Matokeo ni YANGA kufungwa jumla ya GOLI 2-0
Na SIMBA alicheza na TP MAZEMBE ya CONGO na Kufungwa Bao 1-0
Kwa Kifupi Timu zote Zimefungwa
SWALI
Je Kwa MATOKEO yale Je Timu gani IMEFAIDIKA Sana kwa KUFUNGWA kati ya SIMBA na YANGA?
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Mkuu mechi ya jana Simba kufungwa imeongeza munkari na simba kujitathmini,Simba wangeshinda au kudroo kwenye mechi za kimataifa wangeleta u-father ,ile mechi ya jana itaongeza spirit ya gemu zinazokuja na unamfahamu atakayechakazwa game ya kwanzaKufaidika kwenye nini embu fafanua,nani kakwambia kufungwa kuna faida?
Spirit bila uwezo ni kazi bure.Mkuu mechi ya jana Simba kufungwa imeongeza munkari na simba kujitathmini,Simba wangeshinda au kudroo kwenye mechi za kimataifa wangeleta u-father ,ile mechi ya jana itaongeza spirit ya gemu zinazokuja na unamfahamu atakayechakazwa game ya kwanza
Bwege ww. Angalia u bonanza na LIGI YA MABIGWAKati ya hizo mechi mbili ipo ilitazamwa na shabiki wengi? Hiyo ndo imeumia. Ova
Kwaiyo Yanga kufungwa mechi zote na kutolewa nayo ni faida?,hujui mpira wewe.
Zaidi ya Ligi ya Tanzania na Ndondo.Aliyeondolewa mashindanoni ndiye kaumia