Nani kafanikiwa kuomba usajili au namba ya NHIF kupitia mfumo wao mpya wa NHIF Self Service?

Nakadi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
7,772
Reaction score
7,372
Wakuu habarini..

Mimi nataka kuwasijili wake zangu wawili na NHIF.

Ila kinachonikwamisha ni kuwa, status inaniambia kuwa application zangu zote ni FAILED na sababu ni kwamba vyeti/namba za vyeti vya ndoa havisomani/haipatikani RITA.

Sasa nashangaa, hivi vyeti nimepata RITA na vinatolewa na RITA wenyewe kwanini washindwe kuvitambua.

Msaada wakuu na naomba namba za mawasiliano huduma kwa wateja RITA
 
wahi RITA wewe na wake zako wawili kwa usaidizi!
 
Mi mwenyewe nmeshindwa kumsajili mtoto kwa sababu cheti cha kuzaliwa hakisomani na RITA, hii ni changamoto mpya kwakweli
 
Kuna changamoto ya watendaji wa taasisi za umma kutokuwa waaminifu na hii yote mifumo ilikuwa haisomani,yawezekana hivyo vyeti ni feki hazipo katika mfumo wa RITA makanjanja wana vyeti vyao feki wanapiga pesa tu.
 
Wakuu habarini..

Mimi nataka kuwasijili wake zangu wawili na NHIF.

Ila kinachonikwamisha ni kuwa, status inaniambia kuwa application zangu zote ni FAILED na sababu ni kwamba vyeti/namba za vyeti vya ndoa havisomani/haipatikani RITA.

Sasa nashangaa, hivi vyeti nimepata RITA na vinatolewa na RITA wenyewe kwanini washindwe kuvitambua.

Msaada wakuu na naomba namba za mawasiliano huduma kwa wateja RITA
Tuma screenshot za iyo tatizo.
 
Nchi hii ina wenyewe, juu kwwnye form ungeandika mnec wa CCM uone kama itaendelea kusumbua.
 
Nenda RITA badili cheti kutoka cha zamani kuja cha kisasa
 
nahisi kuna mtu ametumia mfumo huu kujisajili NHIF Kwa kutumia namba yangu ya simu.
hii inamaanisha NHIF wataibiwa sana
 
Mimi imenigomea kwenye kuverify nida,baadhi ya details zangu nimezisahau
 
Wakuu nipeni hizo namba za RITA
 
Wakuu habarini..

Mimi nataka kuwasijili wake zangu wawili na NHIF.

Ila kinachonikwamisha ni kuwa, status inaniambia kuwa application zangu zote ni FAILED na sababu ni kwamba vyeti/namba za vyeti vya ndoa havisomani/haipatikani RITA.

Sasa nashangaa, hivi vyeti nimepata RITA na vinatolewa na RITA wenyewe kwanini washindwe kuvitambua.

Msaada wakuu na naomba namba za mawasiliano huduma kwa wateja RITA
Kabla ya kufanya maombi ya NHIF lazima ufanye verification ya cheti/vyeti ambavyo vinatolewa na Rita na gharama yake ni Tsh 6,000. Hata kama cheti kimetoka leo lazima ukifanyie verification na pale kwenye system kuna sehemu pakuonesha cheti kinaenda kutumika taasisi gani so utachagua NHIF.
Ukiona unashindwa nenda stationery zipo ambazo zinakufanyia hayo maombi kwa gharama ya Tsh 5,000
 
S

Sawa Ahsante mkuu
 
Mambo ya kipumbavu sana haya..Cheti wakupe wao wenyewe kisha utoe tena pesa wakihakiki....
 
Yaàh huu ni upumbuvu na ni wizi tu.. kama malipo kwa nini wasiambatanishe wakati wananipa cheti yaan gharama ya cheti na ku-verify.. ni upigaji tu na hii wanazidi kunufaika zaidi kupitia wanafunzi wa vyuo vikuu wanaoomba mikopo.
Mambo ya kipumbavu sana haya..Cheti wakupe wao wenyewe kisha utoe tena pesa wakihakiki....
 
Nenda RITA badili cheti kutoka cha zamani kuja cha kisasa
Habari, nami na changamoto cheti cha ndoa naambiwa kuwa hakitambuliki rita je solution ni kubadili cheti cha kuzaliwa cha mke wangu toka cha zamani kwenda kipya?
 
Back
Top Bottom