Nani kafanikiwa kuomba usajili au namba ya NHIF kupitia mfumo wao mpya wa NHIF Self Service?

Nani kafanikiwa kuomba usajili au namba ya NHIF kupitia mfumo wao mpya wa NHIF Self Service?

Duh hapo ngoja wataalam waje.
Habari, nami na changamoto cheti cha ndoa naambiwa kuwa hakitambuliki rita je solution ni kubadili cheti cha kuzaliwa cha mke wangu toka cha zamani kwenda kipya?
 
Nime- verify cheti lakini wanasema taarifa hazilingani shida nini hapo
 
Jamani huu mfumo mimi binafsi kwa mara ya kwanza niliona upo complicated sana lakini kumbe kuna details zangu zilikuwa hazipo sawa kwenye upande wa NHIF ikabidi nimpigie jamaa mmoja akaniambia nimpe no yangu ya uanachama akai akacheki na kukuta kuna taarifa hazipo sawa ikabidi afanye marekebisho basi nikaendelea na utaratibu wa kujaza taarifa zangu ivyo nikafanikiwa kujaza.
 
Kwahiyo ku-verify cheti cha ndoa process ikoje?
Unaingia link gani?
 
Back
Top Bottom