wahi RITA wewe na wake zako wawili kwa usaidizi!Wakuu habarini..
Mimi nataka kuwasijili wake zangu wawili na NHIF.
Ila kinachonikwamisha ni kuwa, status inaniambia kuwa application zangu zote ni FAILED na sababu ni kwamba vyeti/namba za vyeti vya ndoa havisomani/haipatikani RITA.
Sasa nashangaa, hivi vyeti nimepata RITA na vinatolewa na RITA wenyewe kwanini washindwe kuvitambua.
Msaada wakuu na naomba namba za mawasiliano huduma kwa wateja RITA
Tuma screenshot za iyo tatizo.Wakuu habarini..
Mimi nataka kuwasijili wake zangu wawili na NHIF.
Ila kinachonikwamisha ni kuwa, status inaniambia kuwa application zangu zote ni FAILED na sababu ni kwamba vyeti/namba za vyeti vya ndoa havisomani/haipatikani RITA.
Sasa nashangaa, hivi vyeti nimepata RITA na vinatolewa na RITA wenyewe kwanini washindwe kuvitambua.
Msaada wakuu na naomba namba za mawasiliano huduma kwa wateja RITA
Kabla ya kufanya maombi ya NHIF lazima ufanye verification ya cheti/vyeti ambavyo vinatolewa na Rita na gharama yake ni Tsh 6,000. Hata kama cheti kimetoka leo lazima ukifanyie verification na pale kwenye system kuna sehemu pakuonesha cheti kinaenda kutumika taasisi gani so utachagua NHIF.Wakuu habarini..
Mimi nataka kuwasijili wake zangu wawili na NHIF.
Ila kinachonikwamisha ni kuwa, status inaniambia kuwa application zangu zote ni FAILED na sababu ni kwamba vyeti/namba za vyeti vya ndoa havisomani/haipatikani RITA.
Sasa nashangaa, hivi vyeti nimepata RITA na vinatolewa na RITA wenyewe kwanini washindwe kuvitambua.
Msaada wakuu na naomba namba za mawasiliano huduma kwa wateja RITA
Sawa Ahsante mkuuKabla ya kufanya maombi ya NHIF lazima ufanye verification ya cheti/vyeti ambavyo vinatolewa na Rita na gharama yake ni Tsh 6,000. Hata kama cheti kimetoka leo lazima ukifanyie verification na pale kwenye system kuna sehemu pakuonesha cheti kinaenda kutumika taasisi gani so utachagua NHIF.
Ukiona unashindwa nenda stationery zipo ambazo zinakufanyia hayo maombi kwa gharama ya Tsh 5,000
Mambo ya kipumbavu sana haya..Cheti wakupe wao wenyewe kisha utoe tena pesa wakihakiki....Kabla ya kufanya maombi ya NHIF lazima ufanye verification ya cheti/vyeti ambavyo vinatolewa na Rita na gharama yake ni Tsh 6,000. Hata kama cheti kimetoka leo lazima ukifanyie verification na pale kwenye system kuna sehemu pakuonesha cheti kinaenda kutumika taasisi gani so utachagua NHIF.
Ukiona unashindwa nenda stationery zipo ambazo zinakufanyia hayo maombi kwa gharama ya Tsh 5,000
Mambo ya kipumbavu sana haya..Cheti wakupe wao wenyewe kisha utoe tena pesa wakihakiki....
Habari, nami na changamoto cheti cha ndoa naambiwa kuwa hakitambuliki rita je solution ni kubadili cheti cha kuzaliwa cha mke wangu toka cha zamani kwenda kipya?Nenda RITA badili cheti kutoka cha zamani kuja cha kisasa