Jamani huu mfumo mimi binafsi kwa mara ya kwanza niliona upo complicated sana lakini kumbe kuna details zangu zilikuwa hazipo sawa kwenye upande wa NHIF ikabidi nimpigie jamaa mmoja akaniambia nimpe no yangu ya uanachama akai akacheki na kukuta kuna taarifa hazipo sawa ikabidi afanye marekebisho basi nikaendelea na utaratibu wa kujaza taarifa zangu ivyo nikafanikiwa kujaza.