Nani kafanyiwa Massage na hawa wanawake wa kileo?

Dah kuna watu nilikuwa nawaamini sana humunkama huyu.... kumbe wauza pochi!!!!
 
Unaelewa maana ya kila angle mkuu?
Tunagusa nyanja zote kutegemea na huduma unayoihitaji mkuu.
Ndio maana kabla ya kupata huduma, mteja lazima aulizwe kama atahitaji msaada zaidi iwapo 'atazidiwa' na huduma aliyoichagua.
Kwaio unalipa na kodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…