Nani kafanyiwa Massage na hawa wanawake wa kileo?

Nani kafanyiwa Massage na hawa wanawake wa kileo?

Evelyn Salt, 'happy ending',.....'free wifi', na 'network searching' ipo kwa jinsia zote...wake kwa waume.
Kama wewe mdada waweza omba ufanyiwe massage na mwanaume utakayemchagua au hata mwanamke ikiwezekana.
Tuna hadi Arabs wa kiume na wa kike tumewaajiri kwa kazi hiyo.
Karibu udugu, upashwe moto.
Hiyo happy ending huwa ipo na kwa wateja wanawake? Au ni wanaume tu?
 
Evelyn Salt, 'happy ending',.....'free wifi', na 'network searching' ipo kwa jinsia zote...wake kwa waume.
Kama wewe mdada waweza omba ufanyiwe massage na mwanaume utakayemchagua au hata mwanamke ikiwezekana.
Tuna hadi Arabs wa kiume na wa kike tumewaajiri kwa kazi hiyo.
Karibu udugu, upashwe moto.
Okay naomba kupashwa moto na mhudumu kutoka Nigeria kama mnae
 
Kwa maelezo hayo ,hizo massage houses nyingi kwa ajili ya biashara ya ukahaba.Halafu serikali imemute kabisa , ni kazi za uzalilishaji wa dada zetu,sina uhakika kama wale wahudumu wanafanya zile extra service za kishenzi wilingly,zaidi tu ni sawa na biashara za utumikishaji wa kingono ikiwa unataka massage sahihi fanyiwa na your same sex au your spouse
Hapo na your same gender sikubaliani nayo. Yani Mimi kidume nifanyiwe massage na mwanaume mwenzangu?!
 
Back
Top Bottom