Nani kafanyiwa Massage na hawa wanawake wa kileo?

Nani kafanyiwa Massage na hawa wanawake wa kileo?

Location ni Uhindini karibu na Chef Asili mkuu.
Ila ni sehemu ambako huwezi kuiona mpaka mwenyeji wa pale akuelekeze.
Huwa tunatoa huduma aitakayo na aipendayo mteja.
Na vilevike tunatoa huduma ya 'Dady care'
Ila Madame kwa kamba umefuzu!
Massage karibu na Chef Asili inaitwa Sabby love. Halafu mmiliki wake Dada wa Kichaga!!! Wee Msambaa kwa kunogesha kijiwe ahaaaa
 
Saloon yangu inatoa hiyo huduma.
Karibu Dodoma tukuhudumie mkuu.
Massage za kila angle.... na utachagua muhudumu kwa sura na shape utakayehitaji akuhudumie.
Asante.
Najuta sana kupitia huu uzi mkuu?
Komenti zako zimenitesa sana usiku mzima mpaka kusababisha nikose usingizi kwa sababu ya hiyo Massage $ happy ending.

Naomba kujua kama mnafanya kazi twenty four hours maana hapa nipo safarini nikitokea Dsm kwenda Mwanza ila itabidi nitulie kwanza Dodoma kwa ajili hiyo tu.
 
Kwa sasa tumesitisha kutoa ajira kutokana na wafanyakazi kushawishiwa na hatimaye kutoroshwa na mteja/wateja.
Ndio maana tumeamua kusitisha kwa muda ili tuangalie wapi tunakosea na nini tufanye ili wafanyakazi wangu waendelee kubaki hapa.
Kudadadeki , mtu akielewa huduma anaamua kumtorosha kabisa muhudum akamuhudumie nyumbani kabisa
 
Ila Madame kwa kamba umefuzu!
Massage karibu na Chef Asili inaitwa Sabby love. Halafu mmiliki wake Dada wa Kichaga!!! Wee Msambaa kwa kunogesha kijiwe ahaaaa
Mkuu naomba nitumie zile Google coordinates za hapo sabby love nizifuate nifike, nahisi mwili umechoka nimetoka safari Arusha jana
 
Location ni Uhindini karibu na Chef Asili mkuu.
Ila ni sehemu ambako huwezi kuiona mpaka mwenyeji wa pale akuelekeze.
Huwa tunatoa huduma aitakayo na aipendayo mteja.
Na vilevike tunatoa huduma ya 'Dady care'
"Dady Care " Duh? Hii sijawahi kuijua nipe location mkuu nije kukuungisha na kufurahia dunia.
 
Mara nyingi sana meneja wangu ndio hu-deal na mteja.
Hivo inakuwa ngumu sana kwa meneja kuniita mimi ikiwa katokea mteja ambae kakosa muhudumu wa kumuhudumia labda kama mteja akinihitaji.
Na huwa sipendi sana kujiweka kiboss ili niendane sawa na wafanyakazi wangu.
mimi nahitaji nihudumiwe na wewe body to body sehemu korofi zikae vyema kiasi gn nitatozwa
 
Ebu tufafanulie kidogo dady care ndiyo ipo je
Kulea wanaume ambao wake zao wakorofi siku za weekend.
Unajua wanaume wengi siku za Jumamosi na Jumapili hawaendi kazini hivo hushinda nyumbani.
Sasa katika hao kuna baadhi wake zako ni wakorofi na wana midomo sana wakishinda nao nyumbani.
sa sisi tunachofanya ni kushinda na mume wa mtu siku nzima na pia kupatiwa huduma mbalimbali sawia na zile za kwa mkewe.
Karibu.
 
Unaelewa maana ya kila angle mkuu?
Tunagusa nyanja zote kutegemea na huduma unayoihitaji mkuu.
Ndio maana kabla ya kupata huduma, mteja lazima aulizwe kama atahitaji msaada zaidi iwapo 'atazidiwa' na huduma aliyoichagua.
[emoji22]
 
Najuta sana kupitia huu uzi mkuu?
Komenti zako zimenitesa sana usiku mzima mpaka kusababisha nikose usingizi kwa sababu ya hiyo Massage $ happy ending.

Naomba kujua kama mnafanya kazi twenty four hours maana hapa nipo safarini nikitokea Dsm kwenda Mwanza ila itabidi nitulie kwanza Dodoma kwa ajili hiyo tu.
Karibi sana Pm tuyajenge mkuu
 
Back
Top Bottom