Nani kafanyiwa Massage na hawa wanawake wa kileo?

Mkuu mikosi haikwepeki. Unaweza kuipata popote mfano kwenye daladala unakaa siti moja kahaba limetoka kugegedwa, unakaa siti moja na Sangoma, unakaa siti moja na mchawi.

Au mwenza wako alidate ama anadate na mlozi, mwizi ama mwenye mapepo.

Unaingia dukani kwa mkinga ama mangi nje kaweka ndondocha. Vyoote hivyo vinaleta mikosi.

Na mwisho waweza kuwa umeoa/umeolewa na mtu aliyeachiwa uchawi na bibi/babu zake kwa njia ya tambiko ama manuizo tu bila ya yeye kujua.
Sidhani kama kuna connection kwa kukaa tu na mtu au kuingia dukani kwake.

Spiritual connection zina njia zake kama kulitia kujamiiana, viungo kama nywele au kucha, mate, mkojo nk. Kuna kitabu niliwahi kusoma kuhusu haya na pia Mshana Jr aliwahi kutoa elimu humu
 
Mkuu mikosi haikwepeki. Unaweza kuipata popote mfano kwenye daladala unakaa siti moja kahaba limetoka kugegedwa, unakaa siti moja na Sangoma, unakaa siti moja na mchawi.

Au mwenza wako alidate ama anadate na mlozi, mwizi ama mwenye mapepo.

Unaingia dukani kwa mkinga ama mangi nje kaweka ndondocha. Vyoote hivyo vinaleta mikosi.

Na mwisho waweza kuwa umeoa/umeolewa na mtu aliyeachiwa uchawi na bibi/babu zake kwa njia ya tambiko ama manuizo tu bila ya yeye kujua.
Upo sahihi mkuu, lakini haikufanyi uijaribu sumu kwa kuionja kwakua unajua kufa kupo tu.
 
Yale ni madanguro kwa mwamvuli wa massage centers!Bei ziko mbili
1. Massage full body au massage baadhi ya sehemu za mwili ... Hizi bei zake unazikuta mapokezi
2. Bei ya mfanya massage kama ukimdondokea. Hii ni bei kificho na hsihusiani na bei za mapokezi
Hatari[emoji28][emoji28]
 
Huyu dada anajua kucheza na saikolojia ya mteja.

Sio kwamba nafasi zimejaa kweli,hao anawapiga changa ili muone anawateja wengi.

Mtu ukishaona hivyo utakuwa unashindwa kuombea kwa bei zake kwa kuamini ana watu wengi hivyo nikiombea ntajiharibia na hatokubi,kumbe mgangaji tuu.

Wajinga ndo waliwao.
 
Wacha watu wale utamu wee..
 
Mkuu mikosi haikwepeki. Unaweza kuipata popote mfano kwenye daladala unakaa siti moja kahaba limetoka kugegedwa, unakaa siti moja na Sangoma, unakaa siti moja na mchawi.

Au mwenza wako alidate ama anadate na mlozi, mwizi ama mwenye mapepo.

Unaingia dukani kwa mkinga ama mangi nje kaweka ndondocha. Vyoote hivyo vinaleta mikosi.

Na mwisho waweza kuwa umeoa/umeolewa na mtu aliyeachiwa uchawi na bibi/babu zake kwa njia ya tambiko ama manuizo tu bila ya yeye kujua.
@Mshana Jr
 
Back
Top Bottom