Nani kafanyiwa Massage na hawa wanawake wa kileo?

Sidhani kama kuna connection kwa kukaa tu na mtu au kuingia dukani kwake.

Spiritual connection zina njia zake kama kulitia kujamiiana, viungo kama nywele au kucha, mate, mkojo nk. Kuna kitabu niliwahi kusoma kuhusu haya na pia Mshana Jr aliwahi kutoa elimu humu
 
Upo sahihi mkuu, lakini haikufanyi uijaribu sumu kwa kuionja kwakua unajua kufa kupo tu.
 
Hatari[emoji28][emoji28]
 
Huyu dada anajua kucheza na saikolojia ya mteja.

Sio kwamba nafasi zimejaa kweli,hao anawapiga changa ili muone anawateja wengi.

Mtu ukishaona hivyo utakuwa unashindwa kuombea kwa bei zake kwa kuamini ana watu wengi hivyo nikiombea ntajiharibia na hatokubi,kumbe mgangaji tuu.

Wajinga ndo waliwao.
 
Wacha watu wale utamu wee..
 
@Mshana Jr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…