Nani kafanyiwa Massage na hawa wanawake wa kileo?

Hahaahaaha
 
Ndo maana nmekuambia hapo juu ufungue branch mikoa mingine
Tatizo mtaji mkuu.
Nikipata mtaji mkubwa, naweza fungua tu.
Sema bado bado kwanza maana ndio naanza biashara kaka
 
Reactions: Lee
Hapana mie nataka unihudumie wewe tu ntakuja mwenyewe au kama utahofia basi tutapata wasaa wa huduma hio katika mazingira ya hotelini uje na vifaa tu!
Hilo pia kuna baadhi nimeshawahi kuwafanyia.
Si busara kuweka mifano, ila wapo ambao huja Dodoma na mimi huwahudumia kwa namna anayohitaji mteja.
Maisha yenyewe mafupi sana, kwanini tusifurahie hii nafasi moja ya kuishi tuliyopewa!!
Karibu sana Extrovert.
Fanya booking mapema
 
Usijali ntabook nikifika Dom
 
Mhhhh Madame B, haujibu kule PM. Why?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…