Hapa tu umesema jambo la msingi zaidi, Baghdad kafanya vyema zaidi maana zile flow zimeendana na maudhui ya nyimboPongeza kwa Baghdad kwa kuwameza wote.
Jamaa angepata bit iliyo slow nadhani angewafunika hapa na Mbinguni na kurudi..
Looooh matusi dhahiri shahiri haya"Kabla ya kumsugua akiona mua tu anadata
Style nyigi ni za mbwa ila milio ndo ya paka
Kabla ya kumpakata namla denda,
Leo gigy money kampa papa papa Wemba"
"Vile unaikalia kwa juu, kama unataka kutaga
Alafu unaibania kwa chini nikikaribia kumwaga
Mambo zigzaga si umezoea wazungu
Leo namwaga hadi wachaga"
Kiukweli ni remix mbovu
ukiachana na ukali wa wasanii waliomo mule ndani ni msanii mmoja tu alliyefanya vizuri
in short ngoma imekuwa mbovu pamoja na bagia dady kufanya vyema
Huyo mafioso ndio mkwe mtarajiwa wa mzee Mfinanga, baba yake Nandy ?Baghdad kaumiza zaidi sikutegemea, Mafioso kafunika kwa mitusi sema punch zake zinachekesha, eti style nyingi za mbwa ila milio ndo ya paka[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wote wamechemka, aliyefunika ni mitusi tu peke yake! Katisha sana.Binafsi ngoma ilikuwa ni kali sana. Sema kuna vimakosa vidogo vidogo vimeifanya ngoma kuwa ya kawaida.
Mimi sio mtu wa Music sana, ila haya ni baadhi ya makosa yangu niliyoyabaini..
Kosa la kwanza, Harmonize amezingua kufanya chorus ile ilee. Angeibadiri kidogo nadhani ingekiwa poa zaidi.
Kosa la pili, Chorus kurudiwa rudiwa kila bda ya Verse. Hii imefanya ngoma kuwa ndefu pasipo sababu za msingi..
Kosa la3, ni kosa la producer. Bit haikutakiwa ichangamke vile. Ngoma za Hiphop zenye vichwa vingi huwa zinapendezea kama Bit ikiwa slow flani hivi. Skiliza Deuces Remix ile yenye Drake. Kanye. Fabolous. T. I Rick Rosay.. nk ama skiliza ile Remix ya Tell ya Friend ya Bishow The Weekend. Utapenda mwenyewe..
Mwisho..
Pongeza kwa Baghdad kwa kuwameza wote.
Jamaa angepata bit iliyo slow nadhani angewafunika hapa na Mbinguni na kurudi..
Wote wamechemka, aliyefunika ni mitusi tu peke yake! Katisha sana.
Baghdad kaumiza zaidi sikutegemea, Mafioso kafunika kwa mitusi sema punch zake zinachekesha, eti style nyingi za mbwa ila milio ndo ya paka[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
ni mkusanyikoWasanii 10 kwenye wimbo mmoja huo ni wimbo au kikao cha harusi.
Sifanyi mkuu. Hata ningekuwa nafanya nisingeyatia kwenye 'nyimbo'.Mkuu kwan we ufanyi matusi?
Baghdad ndo kauwa ....Binafsi ngoma ilikuwa ni kali sana. Sema kuna vimakosa vidogo vidogo vimeifanya ngoma kuwa ya kawaida.
Mimi sio mtu wa Music sana, ila haya ni baadhi ya makosa yangu niliyoyabaini..
Kosa la kwanza, Harmonize amezingua kufanya chorus ile ilee. Angeibadiri kidogo nadhani ingekiwa poa zaidi.
Kosa la pili, Chorus kurudiwa rudiwa kila bda ya Verse. Hii imefanya ngoma kuwa ndefu pasipo sababu za msingi..
Kosa la3, ni kosa la producer. Bit haikutakiwa ichangamke vile. Ngoma za Hiphop zenye vichwa vingi huwa zinapendezea kama Bit ikiwa slow flani hivi. Skiliza Deuces Remix ile yenye Drake. Kanye. Fabolous. T. I Rick Rosay.. nk ama skiliza ile Remix ya Tell ya Friend ya Bishow The Weekend. Utapenda mwenyewe..
Mwisho..
Pongeza kwa Baghdad kwa kuwameza wote.
Jamaa angepata bit iliyo slow nadhani angewafunika hapa na Mbinguni na kurudi..
Lunya asipobadilika atachokwa mapema sana1.Baghdad
2. Darasa
3. Salmin swaggz
4. Billnass
5. Rosa
hao wapuuzi waliobaki wamezingua.
sijui nani alimpa crown ya u young king huyo clown mbuzi. Verse nzima hakuna punchline hata moja m.mae!
Ni bonge la ngoma[emoji23][emoji23]embu ngoja niutafute huo wimbo nisikize maana si kwa comments hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Embu weka icho kibao nipate kukisikiliza na mimiBinafsi ngoma ilikuwa ni kali sana. Sema kuna vimakosa vidogo vidogo vimeifanya ngoma kuwa ya kawaida.