Nani kafunika, nani kachemka kwenye remix ya Bedroom


Harmonize aliandaa shindano la rap? Na baghdad ndio umeona kashinda?

Umeharibu post nzima, kuendekeza uswahili wa kushindana shindana
 
Embu weka icho kibao nipate kukisikiliza na mimi

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA

Ilo jina apo chn limekuponza aise. Siweki kitu. Kautafute tu mwenyewe hukoo..
 
Darassa na Rosa Ree, wamefunika mbayaaa.

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
 
Kwenye hiphop kinachombeba MC ni styles kuliko punch lines...Young Lunya kabadirika kama mara nane kwenye 12 bars magnificent
 
Kwenye hiphop kinachombeba MC ni styles kuliko punch lines...Young Lunya kabadirika kama mara nane kwenye 12 bars magnificent

Ila huyu jamaa jina lake n kubwa kuliko uwezo wKe. Hivi amewai fanya hit ata moja kwel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…