Nani kafunika, nani kachemka kwenye remix ya Bedroom

Nani kafunika, nani kachemka kwenye remix ya Bedroom

Binafsi ngoma ilikuwa ni kali sana. Sema kuna vimakosa vidogo vidogo vimeifanya ngoma kuwa ya kawaida.
Mimi sio mtu wa Music sana, ila haya ni baadhi ya makosa yangu niliyoyabaini..

Kosa la kwanza, Harmonize amezingua kufanya chorus ile ilee. Angeibadiri kidogo nadhani ingekiwa poa zaidi.

Kosa la pili, Chorus kurudiwa rudiwa kila bda ya Verse. Hii imefanya ngoma kuwa ndefu pasipo sababu za msingi..

Kosa la3, ni kosa la producer. Bit haikutakiwa ichangamke vile. Ngoma za Hiphop zenye vichwa vingi huwa zinapendezea kama Bit ikiwa slow flani hivi. Skiliza Deuces Remix ile yenye Drake. Kanye. Fabolous. T. I Rick Rosay.. nk ama skiliza ile Remix ya Tell ya Friend ya Bishow The Weekend. Utapenda mwenyewe..

Mwisho..

Pongeza kwa Baghdad kwa kuwameza wote.
Jamaa angepata bit iliyo slow nadhani angewafunika hapa na Mbinguni na kurudi..

Harmonize aliandaa shindano la rap? Na baghdad ndio umeona kashinda?

Umeharibu post nzima, kuendekeza uswahili wa kushindana shindana
 
Darassa na Rosa Ree, wamefunika mbayaaa.

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
 
Kwenye hiphop kinachombeba MC ni styles kuliko punch lines...Young Lunya kabadirika kama mara nane kwenye 12 bars magnificent
 
Kwenye hiphop kinachombeba MC ni styles kuliko punch lines...Young Lunya kabadirika kama mara nane kwenye 12 bars magnificent

Ila huyu jamaa jina lake n kubwa kuliko uwezo wKe. Hivi amewai fanya hit ata moja kwel
 
Back
Top Bottom