Nani kafunika, nani kachemka kwenye remix ya Bedroom

Mm nipo OP na wewe kwanza nyumbo ushasema ni remix huwezi kubadili chorus ukibadili sio remix tn ni new hit, pili biti ya nyimbo Ipo slow ila inabadilika the way mtu anavyorap ata hivyo kwa hip-hop ni bit flan lain sana wanaoimba hasa rap watanielewa, pia ilibidi kuwepo na kitu cha kutenga kati rap mmoja walioko ktk nyimbo so chorus imetumika kama bridge ya kujua sas anaeingia ni flan ambayo ata msikilizaji anapata tension ya kujua who is next.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hakuna content hapo ni matusi matupu
 

Chorus imeharibu..

Bit pia inakamchaka mchaka flani hv. Ingekuwa slow hata bilnas asingekimbia vile mulee
 
Hapo vijana wa dar mmepatiwa sana ulitumia mda gani kumeza mashairi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nauliza Tu huu ni wimbo?[emoji44][emoji44]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Beat nzuri, chorus iko poa pia, tatizo liko kwenye mashairi, ukiacha Darasa na Baghdad, wengine wana mtazamo mdogo(immature) kuhus mapenzi na jufanya wimbo ueikike matusi zaidi.

Naamini tungesikia mashairi yenye maana kama hawa wangeshiriki, Prof Jay, Solo Thang, Fa, n wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ