Nani kafunika, nani kachemka kwenye remix ya Bedroom

Mm nipo OP na wewe kwanza nyumbo ushasema ni remix huwezi kubadili chorus ukibadili sio remix tn ni new hit, pili biti ya nyimbo Ipo slow ila inabadilika the way mtu anavyorap ata hivyo kwa hip-hop ni bit flan lain sana wanaoimba hasa rap watanielewa, pia ilibidi kuwepo na kitu cha kutenga kati rap mmoja walioko ktk nyimbo so chorus imetumika kama bridge ya kujua sas anaeingia ni flan ambayo ata msikilizaji anapata tension ya kujua who is next.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Kabla ya kumsugua akiona mua tu anadata

Style nyigi ni za mbwa ila milio ndo ya paka

Kabla ya kumpakata namla denda,
Leo gigy money kampa papa papa Wemba"

"Vile unaikalia kwa juu, kama unataka kutaga

Alafu unaibania kwa chini nikikaribia kumwaga

Mambo zigzaga si umezoea wazungu

Leo namwaga hadi wachaga"

Hakuna content hapo ni matusi matupu
 
Chorus imeharibu..

Bit pia inakamchaka mchaka flani hv. Ingekuwa slow hata bilnas asingekimbia vile mulee
 
"Kabla ya kumsugua akiona mua tu anadata

Style nyigi ni za mbwa ila milio ndo ya paka

Kabla ya kumpakata namla denda,
Leo gigy money kampa papa papa Wemba"

"Vile unaikalia kwa juu, kama unataka kutaga

Alafu unaibania kwa chini nikikaribia kumwaga

Mambo zigzaga si umezoea wazungu

Leo namwaga hadi wachaga"
Hapo vijana wa dar mmepatiwa sana ulitumia mda gani kumeza mashairi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nauliza Tu huu ni wimbo?[emoji44][emoji44]
"Kabla ya kumsugua akiona mua tu anadata

Style nyigi ni za mbwa ila milio ndo ya paka

Kabla ya kumpakata namla denda,
Leo gigy money kampa papa papa Wemba"

"Vile unaikalia kwa juu, kama unataka kutaga

Alafu unaibania kwa chini nikikaribia kumwaga

Mambo zigzaga si umezoea wazungu

Leo namwaga hadi wachaga"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Beat nzuri, chorus iko poa pia, tatizo liko kwenye mashairi, ukiacha Darasa na Baghdad, wengine wana mtazamo mdogo(immature) kuhus mapenzi na jufanya wimbo ueikike matusi zaidi.

Naamini tungesikia mashairi yenye maana kama hawa wangeshiriki, Prof Jay, Solo Thang, Fa, n wengine
 
Back
Top Bottom