Nani kafunika, nani kachemka kwenye remix ya Bedroom

FirstClass

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2016
Posts
1,100
Reaction score
1,363
Binafsi ngoma ilikuwa ni kali sana. Sema kuna vimakosa vidogo vidogo vimeifanya ngoma kuwa ya kawaida.
Mimi sio mtu wa Music sana, ila haya ni baadhi ya makosa yangu niliyoyabaini..

Kosa la kwanza, Harmonize amezingua kufanya chorus ile ilee. Angeibadiri kidogo nadhani ingekiwa poa zaidi.

Kosa la pili, Chorus kurudiwa rudiwa kila bda ya Verse. Hii imefanya ngoma kuwa ndefu pasipo sababu za msingi..

Kosa la3, ni kosa la producer. Bit haikutakiwa ichangamke vile. Ngoma za Hiphop zenye vichwa vingi huwa zinapendezea kama Bit ikiwa slow flani hivi. Skiliza Deuces Remix ile yenye Drake. Kanye. Fabolous. T. I Rick Rosay.. nk ama skiliza ile Remix ya Tell ya Friend ya Bishow The Weekend. Utapenda mwenyewe..

Mwisho..

Pongeza kwa Baghdad kwa kuwameza wote.
Jamaa angepata bit iliyo slow nadhani angewafunika hapa na Mbinguni na kurudi..
 
"Kabla ya kumsugua akiona mua tu anadata

Style nyigi ni za mbwa ila milio ndo ya paka

Kabla ya kumpakata namla denda,
Leo gigy money kampa papa papa Wemba"

"Vile unaikalia kwa juu, kama unataka kutaga

Alafu unaibania kwa chini nikikaribia kumwaga

Mambo zigzaga si umezoea wazungu

Leo namwaga hadi wachaga"
 
billnass katukana sanaa ah ah ila nadhan billnass,baghdad wameitendea nyimbo haki
 
"Kabla ya kumsugua akiona mua tu anadata

Style nyigi ni za mbwa ila milio ndo ya paka

Kabla ya kumpakata namla denda,
Leo gigy money kampa papa papa Wemba"

"Vile unaikalia kwa juu, kama unataka kutaga

Alafu unaibania kwa chini nikikaribia kumwaga

Mambo zigzaga si umezoea wazungu

Leo namwaga hadi wachaga"

Hahah.. umetisha sana mkuu
 
Siumezoea wazungu leo namwaga adi wachaga 😂😂😂
 
Binafsi ngoma ilikuwa ni kali sana. Sema kuna vimakosa vidogo vidogo vimeifanya ngoma kuwa ya kawaida.
Mimi sio mtu wa Music sana, ila haya ni baadhi ya makosa yangu niliyoyabaini..

Kosa la kwanza, Harmonize amezingua kufanya chorus ile ilee. Angeibadiri kidogo nadhani ingekiwa poa zaidi.

Kosa la pili, Chorus kurudiwa rudiwa kila bda ya Verse. Hii imefanya ngoma kuwa ndefu pasipo sababu za msingi..

Kosa la3, ni kosa la producer. Bit haikutakiwa ichangamke vile. Ngoma za Hiphop zenye vichwa vingi huwa zinapendezea kama Bit ikiwa slow flani hivi. Skiliza Deuces Remix ile yenye Drake. Kanye. Fabolous. T. I Rick Rosay.. nk ama skiliza ile Remix ya Tell ya Friend ya Bishow The Weekend. Utapenda mwenyewe..

Mwisho..

Pongeza kwa Baghdad kwa kuwameza wote.
Jamaa angepata bit iliyo slow nadhani angewafunika hapa na Mbinguni na kurudi..
Remix ndefu inachosha, waliozingua verse zao zinatia kinyaa ni baghdad na young lunya aliyeua kuliko wote ni darasa ,
 
Pia mwingine aliyezngua badala ya kuimba mapenzi anaimba ngono ni billnas
 
haya matusi angeimba domo team chuki wangebwata kweli.

Back
Top Bottom