Nani kaipa mamlaka Israel ya kuishambulia Syria?

Hizo taarifa za kiintelijensia ziweke wazi hapa ?

Na je siku Kenya ikipata taarifa za kiintelijensia itakuwa na mamlaka ya kuishambulia Tanzania na kuanza kuirushia mabomu hovyo hovyo ?
 
Nini sasa kinachokufurahisha ?
 
Kwa mwenye nguvu,
ni kuimarisha ulinzi kwenye mipaka yako,

Lakini kujilinda zaidi ni pamoja na kwenda kumdismantal adui yako alie na akili fyatu kule kule aliko 🐒
Nani adui yao ?

Unamuitaje mtu adui yako ndio kwanza utawala mpya ? Haujarusha hata risasi moja katika mpaka wako ?
 
Achana na mambo ya kufikirika ya mbinguni tujikite katika huu uzi

Wamejipa hayo mamlaka. Na hakuna wa kumfanya lolote Israel.
Ameshaibomoa Hezbollah. Assad chali. Iran is the next target.
Myahudi kila upande. Mpaka unajua nani amempa mamlaka tayari umeenda huko chini mita sita.
Nasisitiza, haki anaitoa Mwenyezi Mungu peke yake. Kuna maswali mengine yanaulizwa na washing ubwabwa wakichanganya na matikitiki
 
Kuwa kama mtu mwenye akili.

Kama umeshindwa kujibu ni bora kukaa kimya sio kila nyuzi ni ya kushiriki.
 
Nani adui yao ?

Unamuitaje mtu adui yako ndio kwanza utawala mpya ? Haujarusha hata risasi moja katika mpaka wako ?
soma historia vizuri gentleman,

huyo unaesema ni mtawala mpya anaposema kwamba Mapinduzi kwa Bashar Al Asad, hayo hayataishia Damascus bali yataendelea hadi kuikomboa Jerusalem, huyo anaweza kua Best friend, right?🤣
 
soma historia vizuri gentleman,

huyo unaesema ni mtawala mpya anaposema kwamba Mapinduzi kwa Bashar Al Asad, hayo hayataishia Damascus bali yataendelea hadi kuikomboa Jerusalem, huyo anaweza kua Best friend, right?🤣
Sio lazima awe best friend wa Israel na pia sio lazima awe adui wa Israel.

Hakuna taifa linalo lazimisha taifa fulani liwe rafiki wake wa dhati.

Maswali yangu unayakwepa
 
Syria inafahamika wazi ilitumika kama breeding ground na Swetwan Iran kutengeneza silaha, kuandaa Magaidi ya Hezbollah na kupitisha Silaha kwenda Hezbollah kwa nia ya kuifuta Israel kwenye ramani ya Dunia.

Na Syria imekuwa ikishambuliwa toka Asadi yupo, haswa raslimali za Iran na Makamanda wa Iran ndani ya Syria.

Israel ana haki ya kujilinda na kituo kitakachofuata ni Iran. PERIOD
 
Kama kujilinda kwa nini asiimarishe mipaka yake ?
 
Sasa hawa jamaa baba yao si ndiyo mwenye ulimwengu huu, acha tu wachezee vitu vya baba yao...
 
Sure mkuu 🤝
 
Wewe ndo akili huna, unauliza kibali cha Israel kuishambulia Syria, kwani kibali cha Hamas kuishambulia Israeli ulitoa wewe?
Hamas waliishambulia Israel kwasababu ya mateso ambayo Israel inawafanyia Wapalestina ikiwa ni pamoja na kuyakalia kimabavu maeneo ya Wapalestina.

Sasa jibu hoja kwanini Israel anaishambulia Syria wakati Syria hajarusha hata risasi moja kuelekea Israel?

Weka sababu zilizo wazi na zenye mashiko kama ilivyo sababu za wazi na zenye mashiko za Hamas.
 
mamlaka ya kuilinda nchi na kushambulia magaidi ni ya inchi husika, haihitajiki ruksa yoyote
 
Amina, tubarikiwe sote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…