Nani kama mama, Alimuokoa Fei toto wakanuna, kwa mara nyingine anaenda kuwa mgeni rasmi Derby waliyosusia

round kick

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2025
Posts
345
Reaction score
1,145
Nani kama mama,

Walidhamiria kumpitisha msoto Fei Toto lakini mama akaweka mambo sawa, Walinuna 😁 wakajaribu kulipa kisasi kwa kumsajili Dube, yani anachofanya uwanjani hakiendani na milioni 500 za usajili na mshara wa milioni 30 😁😁 bora hata Baleke

Majuzi hapo wametoa tamko hawachezi, za ndani ndani zilizoiva tarehe ya derby ikitangazwa, Mama ndie anakuwa mgeni rasmi, wana jeuri gani ya kutokwenda πŸ˜€πŸ˜€ Ole wao !!

Tarehe mpya ya derby Arajiga hatachezesha, kuna refa makini zaidi πŸ˜€πŸ˜€

Mnyama anaeda kuonyesha maana halisi ya UBAYA UBWELA
 
Tarehe mpya ya derby Arajiga hatachezesha, kuna refa makini zaidi atahusika kupuliza kipenga, kuamua faulo, dakika za kuongeza, n.k. πŸ˜€πŸ˜€
Unachokizungumza umekifikiria kwanza au umeupiga vitu mwezi huu mtukufu? Mambo ya mama na masuala nyeti kama ayo ya Mpira yanaingilianaje?
 
Nani kama mama,

Walidhamiria kumpitisha msoto Fei Toto lakini mama akaweka mambo sawa, Walinuna 😁 wakajaribu kulipa kisasi kwa kumsajili Dube, yani anachofanya uwanjani hakiendani na milioni 500 za usajili na mshara wa milioni 30 😁😁 bora hata Baleke

Majuzi hapo wametoa tamko hawachezi, za ndani ndani zilizoiva tarehe ya derby ikitangazwa, Mama ndie anakuwa mgeni rasmi, wana jeuri gani ya kutokwenda πŸ˜€πŸ˜€ Ole wao !!

Tarehe mpya ya derby Arajiga hatachezesha, kuna refa makini zaidi πŸ˜€πŸ˜€

Mnyama anaeda kuonyesha maana halisi ya UBAYA UBWELA

View: https://www.instagram.com/reel/DGGq98nCh49/?igsh=cDdvbGd4dXBmMHU3
 
Nani kama mama,

Walidhamiria kumpitisha msoto Fei Toto lakini mama akaweka mambo sawa, Walinuna 😁 wakajaribu kulipa kisasi kwa kumsajili Dube, yani anachofanya uwanjani hakiendani na milioni 500 za usajili na mshara wa milioni 30 😁😁 bora hata Baleke

Majuzi hapo wametoa tamko hawachezi, za ndani ndani zilizoiva tarehe ya derby ikitangazwa, Mama ndie anakuwa mgeni rasmi, wana jeuri gani ya kutokwenda πŸ˜€πŸ˜€ Ole wao !!

Tarehe mpya ya derby Arajiga hatachezesha, kuna refa makini zaidi πŸ˜€πŸ˜€

Mnyama anaeda kuonyesha maana halisi ya UBAYA UBWELA
Madunduka mmeipiga kanyaboya Bodi ya ligi, hΓ lafu mnahangaika kumsaidia Bodi kumbambikia Mkuu wa nchi kanyaboya lenu.
Raisi si mjinga wala hana washauri wajinga, HADANGANYIKI wala HATAPELIKI. Mnalo hilo
 
Uwezekano huo ni mkubwa maan huu ni mwaka wa uchaguzi
 
Madunduka mmeipiga kanyaboya Bodi ya ligi, hΓ lafu mnahangaika kumsaidia Bodi kumbambikia Mkuu wa nchi kanyaboya lenu.
Raisi si mjinga wala hana washauri wajinga, HADANGANYIKI wala HATAPELIKI. Mnalo hilo
Hii mistali ungempatia Mzee Yusufu angekushukuru sana.
 
1659761486.jpg
 
Nani kama mama,

Walidhamiria kumpitisha msoto Fei Toto lakini mama akaweka mambo sawa, Walinuna 😁 wakajaribu kulipa kisasi kwa kumsajili Dube, yani anachofanya uwanjani hakiendani na milioni 500 za usajili na mshara wa milioni 30 😁😁 bora hata Baleke

Majuzi hapo wametoa tamko hawachezi, za ndani ndani zilizoiva tarehe ya derby ikitangazwa, Mama ndie anakuwa mgeni rasmi, wana jeuri gani ya kutokwenda πŸ˜€πŸ˜€ Ole wao !!

Tarehe mpya ya derby Arajiga hatachezesha, kuna refa makini zaidi πŸ˜€πŸ˜€

Mnyama anaeda kuonyesha maana halisi ya UBAYA UBWELA
huyo mama yenu mpeni TFF iwe nyumbani kwake kizimkazi na mkiona aitoshi amisheni dar yote mpeleke kizimkazi
 
Msiojua huyu ndiyo anawakilisha akili mbovu za wanamsimbazi
 
Hivi huyo sijui mama huwa hana kazi za maana za kufanya?
 
Nani kama mama,

Walidhamiria kumpitisha msoto Fei Toto lakini mama akaweka mambo sawa, Walinuna 😁 wakajaribu kulipa kisasi kwa kumsajili Dube, yani anachofanya uwanjani hakiendani na milioni 500 za usajili na mshara wa milioni 30 😁😁 bora hata Baleke

Majuzi hapo wametoa tamko hawachezi, za ndani ndani zilizoiva tarehe ya derby ikitangazwa, Mama ndie anakuwa mgeni rasmi, wana jeuri gani ya kutokwenda πŸ˜€πŸ˜€ Ole wao !!

Tarehe mpya ya derby Arajiga hatachezesha, kuna refa makini zaidi πŸ˜€πŸ˜€

Mnyama anaeda kuonyesha maana halisi ya UBAYA UBWELA
Yaani ubora wa Dube uufananishe na Baleke? Achana na huyo. Hebu weka takwimu ya mchezaji wako yeyote nje ya Wachezaji wa Yanga na Azam mwenye takwimu bora kumzidi Dube ligi kuu. Hata ndani ya Yanga kwenyewe Dube ni bora sana.

Hata ukimpeleka Dube Simba au akirudi Azam hakuna wa kumkalisha benchi.

Yanga inawasubiri hiyo tarehe atakayokuwepo mheshimiwa Rais.
 
Back
Top Bottom