round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 345
- 1,145
Unachokizungumza umekifikiria kwanza au umeupiga vitu mwezi huu mtukufu? Mambo ya mama na masuala nyeti kama ayo ya Mpira yanaingilianaje?Nani kama mama,
Walidhamiria kumpitisha msoto Fei Toto lakini mama akaweka mambo sawa, Walinuna π wakajaribu kulipa kisasi kwa kumsajili Dube, yani anachofanya uwanjani hakiendani na milioni 500 za usajili na mshara wa milioni 30 ππ bora hata Baleke
Majuzi hapo wametoa tamko hawachezi, za ndani ndani zilizoiva tarehe ya derby ikitangazwa, Mama ndie anakuwa mgeni rasmi, wana jeuri gani ya kutokwenda ππ Ole wao !!
Tarehe mpya ya derby Arajiga hatachezesha, kuna refa makini zaidi atahusika kupuliza kipenga, kuamua faulo, dakika za kuongeza, n.k. ππ
Nani kama mama,
Walidhamiria kumpitisha msoto Fei Toto lakini mama akaweka mambo sawa, Walinuna π wakajaribu kulipa kisasi kwa kumsajili Dube, yani anachofanya uwanjani hakiendani na milioni 500 za usajili na mshara wa milioni 30 ππ bora hata Baleke
Majuzi hapo wametoa tamko hawachezi, za ndani ndani zilizoiva tarehe ya derby ikitangazwa, Mama ndie anakuwa mgeni rasmi, wana jeuri gani ya kutokwenda ππ Ole wao !!
Tarehe mpya ya derby Arajiga hatachezesha, kuna refa makini zaidi ππ
Mnyama anaeda kuonyesha maana halisi ya UBAYA UBWELA
Na ndio maana atakuwa mgeni rasmi siku hiyo kulitazama chama lake.Unajitekenya na kijichekesha mwenyewe tu uyo mama wenyewe ni Yanga
Madunduka mmeipiga kanyaboya Bodi ya ligi, hΓ lafu mnahangaika kumsaidia Bodi kumbambikia Mkuu wa nchi kanyaboya lenu.Nani kama mama,
Walidhamiria kumpitisha msoto Fei Toto lakini mama akaweka mambo sawa, Walinuna π wakajaribu kulipa kisasi kwa kumsajili Dube, yani anachofanya uwanjani hakiendani na milioni 500 za usajili na mshara wa milioni 30 ππ bora hata Baleke
Majuzi hapo wametoa tamko hawachezi, za ndani ndani zilizoiva tarehe ya derby ikitangazwa, Mama ndie anakuwa mgeni rasmi, wana jeuri gani ya kutokwenda ππ Ole wao !!
Tarehe mpya ya derby Arajiga hatachezesha, kuna refa makini zaidi ππ
Mnyama anaeda kuonyesha maana halisi ya UBAYA UBWELA
Hii mistali ungempatia Mzee Yusufu angekushukuru sana.Madunduka mmeipiga kanyaboya Bodi ya ligi, hΓ lafu mnahangaika kumsaidia Bodi kumbambikia Mkuu wa nchi kanyaboya lenu.
Raisi si mjinga wala hana washauri wajinga, HADANGANYIKI wala HATAPELIKI. Mnalo hilo
huyo mama yenu mpeni TFF iwe nyumbani kwake kizimkazi na mkiona aitoshi amisheni dar yote mpeleke kizimkaziNani kama mama,
Walidhamiria kumpitisha msoto Fei Toto lakini mama akaweka mambo sawa, Walinuna π wakajaribu kulipa kisasi kwa kumsajili Dube, yani anachofanya uwanjani hakiendani na milioni 500 za usajili na mshara wa milioni 30 ππ bora hata Baleke
Majuzi hapo wametoa tamko hawachezi, za ndani ndani zilizoiva tarehe ya derby ikitangazwa, Mama ndie anakuwa mgeni rasmi, wana jeuri gani ya kutokwenda ππ Ole wao !!
Tarehe mpya ya derby Arajiga hatachezesha, kuna refa makini zaidi ππ
Mnyama anaeda kuonyesha maana halisi ya UBAYA UBWELA
Yaani ubora wa Dube uufananishe na Baleke? Achana na huyo. Hebu weka takwimu ya mchezaji wako yeyote nje ya Wachezaji wa Yanga na Azam mwenye takwimu bora kumzidi Dube ligi kuu. Hata ndani ya Yanga kwenyewe Dube ni bora sana.Nani kama mama,