Mseriandy
Member
- Mar 27, 2011
- 35
- 6
Alijenga viwanda katika kila mkoa hapa Tanzania
Mwatex
Mara Milk
KOIL Mwanza
Sunguratex
ZZK MBEYA
Machine tools Moshi
Arusha General Tyre
Kilitex
EMKO Soap
Maries Biscuits
Peremende
Ongezeeni vingine wadau
Alisomesha watanzania bure kuanzia chekechea mpaka Chuo kikuu
Alikataa Rushwa kwa vitendo
Heshima kwa watu wote
Huduma za afya bure
Leo nani atakuja hapa aseme ni rais yupi mwingine amejenga kiwanda?
Elimu ni ya kubahatisha na kubagua kati ya ST kayumba - wasio nacho na International kwa wenye nacho
Mikopo vyuo vikuuyenyewe haipatikani sembuse kutoa elimu bure
Leo ufisadi mchana kweupe (mfano mawaziri wetu na halmashauri)
leo wanachimba madini ila wachache wanafaida.
Kwa sasa naona hawa wakae pembeni kwanza. matumaini ya watanzania sasa yapo CHADEMA.
VIjana na wazee wote People's Poweer, M4C!!!!
Nyie magamba hamjaonewa, ila mmekumbatia walaji wachache, mmejichimbia kaburi wenyewe. mfano ni mfumuko wa bei hatari kabisa duniani, umasikini kuongezeka, ajira hakuna, ardhi kupewa wageni na wananchi kuwa manamba a.k.a watumwa.