Nani kama Nyerere? hakika tutamkumbuka sana huyu mzee!

Nani kama Nyerere? hakika tutamkumbuka sana huyu mzee!

Duh! nimejisikia faraja sana jinsi wakuu mlivyoniunga mkono kwenye hii thread,iko siku taifa letu litakombolewa kutoka mikononi mwa hawa mashetani waitwao ccm.
 
Hivi Nyerere kuenziwa (onesha heshima au mapenzi, TUKI 1981, uk.98)na Chama cha CCM na vyama vingine vya siasa ni kufanya nini hasa? Ni kiongozi gani kwa sasa Tanzania anamuenzi Mwalimu? Toa mchango wako bila chuki binafsi.
 
Maisha yake ya Uraisi aliish Msasani Ikulu ilikuwa kama ofisi waliofuta walifanya Ikulu kuwa danguro
 
Back
Top Bottom