Duh! nimejisikia faraja sana jinsi wakuu mlivyoniunga mkono kwenye hii thread,iko siku taifa letu litakombolewa kutoka mikononi mwa hawa mashetani waitwao ccm.
Hivi Nyerere kuenziwa (onesha heshima au mapenzi, TUKI 1981, uk.98)na Chama cha CCM na vyama vingine vya siasa ni kufanya nini hasa? Ni kiongozi gani kwa sasa Tanzania anamuenzi Mwalimu? Toa mchango wako bila chuki binafsi.