ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
cc Sky EclatHakuna kama sky eclat huyu dada Ni mkali wao yaani Ni wa moto linapokuja suala la uelewa kichwani kwake ni mchezo simple Kuna ma file mazito juu yake.kiukweli nampenda huyu mama wanawake wote igeni akili yake Ana material Sana mtafanikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kama sky eclat huyu dada Ni mkali wao yaani Ni wa moto linapokuja suala la uelewa kichwani kwake ni mchezo simple Kuna ma file mazito juu yake.kiukweli nampenda huyu mama wanawake wote igeni akili yake Ana material Sana mtafanikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera mkuu Sky Eclat, naona katika 'siku yenu' umepata japo 'special honour'. By the way upo vizuri upstairs, far beyond a lot of ladies out there... Bravo!!View attachment 1720299
Umenivalisha viatu vikubwa sana
Napenda kukufahamisha kuwa Sky Eclat ni mke wangu halali wa ndoa....Hakuna kama sky eclat huyu dada Ni mkali wao yaani Ni wa moto linapokuja suala la uelewa kichwani kwake ni mchezo simple Kuna ma file mazito juu yake.kiukweli nampenda huyu mama wanawake wote igeni akili yake Ana material Sana mtafanikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kumshobokea mke wanguHakuna kama sky eclat huyu dada Ni mkali wao yaani Ni wa moto linapokuja suala la uelewa kichwani kwake ni mchezo simple Kuna ma file mazito juu yake.kiukweli nampenda huyu mama wanawake wote igeni akili yake Ana material Sana mtafanikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
πππππAna chura?
Sikupingi hom boy.Hakuna kama Sky eclat huyu dada ni mkali wao yaani ni wa moto linapokuja suala la uelewa kichwani kwake ni mchezo simple kuna ma file mazito juu yake.
Kiukweli nampenda huyu mama wanawake wote igeni akili yake ana material sana mtafanikiwa.
Naam. Binti amepata exposure ya kukaa UK kwa zaidi ya miaka 10 na kuukwaa u-Kiduku Lilo unamtegemea aside na welewa mpana wa mambo mbalimbali?
Ila tu apunguze hasira zake kwa Jiwe. Nimepanga kuwakutanisha ili wamalize tofauti zao kwa amani [emoji16][emoji16][emoji16]
Ana chura?