Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba nitumie message private ndugu.....View attachment 1720299
Umenivalisha viatu vikubwa sana
Hahahaha nicheck hapa JF as soon if you can please.....😂😂😂😂😂
Angaalia asije akawa anataka kuja PMView attachment 1720299
Umenivalisha viatu vikubwa sana
huyu si mwingne bali ni faiza FoxyPamoja nae lipo hili jimama la kiislamu nalikubali sana lina nondo na exposure sema ndio hvyo limejaa udini sana nahisi makazi yake ni huko falme za kiarabu.
Mwasisi wa msemo pendwa "hivi huko shule mlienda kusomea ujinga"
Wewe una wanawake wangapi humu?Napenda kukufahamisha kuwa Sky Eclat ni mke wangu halali wa ndoa....
Leo nimekusamehe, lakini siku nyingine uwe unaomba kibali cha kumwanzishia thread...
Kibali hicho nakitoa mimi mwenyewe orijinale...
View attachment 1720312
Au mdogo wake mahabani Kasie Matata
View attachment 1720313
Kwamba wewe hapo ndio Asprin ?Napenda kukufahamisha kuwa Sky Eclat ni mke wangu halali wa ndoa....
Leo nimekusamehe, lakini siku nyingine uwe unaomba kibali cha kumwanzishia thread...
Kibali hicho nakitoa mimi mwenyewe orijinale...
View attachment 1720312
Au mdogo wake mahabani Kasie Matata
View attachment 1720313
Banange, mwasize mutya?Napenda kukufahamisha kuwa Sky Eclat ni mke wangu halali wa ndoa....
Leo nimekusamehe, lakini siku nyingine uwe unaomba kibali cha kumwanzishia thread...
Kibali hicho nakitoa mimi mwenyewe orijinale...
View attachment 1720312
Au mdogo wake mahabani Kasie Matata
View attachment 1720313
Wewe ulivyonikataa ulidhani ni wanawake wote ni makatili kama wewe? Mwache mrembo wa watu afaidi vinono...Wewe una wanawake wangapi humu?
Kila mwanamke kichwa unataka uchukue wewe.
Tupumzishe we kibabu.
Sky Eclat ana wake....umeona anaelekea kwenye u-Samia, unahamia kwake.....tutaku shoot!!!
Basi sawa....Naam... mimi ndie
We unawaza matakoo tu ....nyambaffff[emoji1787][emoji1787][emoji16]( joke best yanguAna chura?
Damn right!!!Kwa mara ya kwanza nashuhudia appreciation za jinsia hii ambazo nadiriki kusema ni za dhati kwenda kwa mwenye jinsia kama yao, hongera mno Sky Eclat na hongereni kina dada wote mlioweka unafiki pembeni...itoshe kusema tu nimeuona ukomavu wenu kinamama/kinadada, na kwa kweli kumchukia Sky Eclat ufanye kazi kweli kweli hata Paula Paul analijua hili