Nani kama Sky Eclat?

Nani kama Sky Eclat?

Angaalia asije akawa anataka kuja PM
2725071_FB_IMG_1582217425338.jpg

Hakuna uhusiano hapa Sky Eclat , shtuka!
 
Pamoja nae lipo hili jimama la kiislamu nalikubali sana lina nondo na exposure sema ndio hvyo limejaa udini sana nahisi makazi yake ni huko falme za kiarabu.

Mwasisi wa msemo pendwa "hivi huko shule mlienda kusomea ujinga"
 
Napenda kukufahamisha kuwa Sky Eclat ni mke wangu halali wa ndoa....

Leo nimekusamehe, lakini siku nyingine uwe unaomba kibali cha kumwanzishia thread...

Kibali hicho nakitoa mimi mwenyewe orijinale...

View attachment 1720312

Au mdogo wake mahabani Kasie Matata

View attachment 1720313
Wewe una wanawake wangapi humu?
Kila mwanamke kichwa unataka uchukue wewe.
Tupumzishe we kibabu.
Sky Eclat ana wake....umeona anaelekea kwenye u-Samia, unahamia kwake.....tutaku shoot!!!
 
Kweli kabisa. Huyu manzi namkubali sana. Kichwani kwake kumejaa mambo ya maana sana. Natamani hata nikutane nae,anipe mipango
 
Wewe una wanawake wangapi humu?
Kila mwanamke kichwa unataka uchukue wewe.
Tupumzishe we kibabu.
Sky Eclat ana wake....umeona anaelekea kwenye u-Samia, unahamia kwake.....tutaku shoot!!!
Wewe ulivyonikataa ulidhani ni wanawake wote ni makatili kama wewe? Mwache mrembo wa watu afaidi vinono...

Wivu sio dawa... ebo!
 
Kwa mara ya kwanza nashuhudia appreciation za jinsia hii ambazo nadiriki kusema ni za dhati kwenda kwa mwenye jinsia kama yao, hongera mno Sky Eclat na hongereni kina dada wote mlioweka unafiki pembeni...itoshe kusema tu nimeuona ukomavu wenu kinamama/kinadada, na kwa kweli kumchukia Sky Eclat ufanye kazi kweli kweli hata Paula Paul analijua hili
 
Damn right!!!
Need I say more?
 
Back
Top Bottom