Nani kama Sky Eclat?

Nani kama Sky Eclat?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Hakuna kama Sky eclat huyu dada ni mkali wao yaani ni wa moto linapokuja suala la uelewa kichwani kwake ni mchezo simple kuna ma file mazito juu yake.

Kiukweli nampenda huyu mama wanawake wote igeni akili yake ana material sana mtafanikiwa.
 
Naam. Binti amepata exposure ya kukaa UK kwa zaidi ya miaka 10 na kuukwaa u-Kiduku Lilo unamtegemea asiwe na welewa mpana wa mambo mbalimbali?

Ila tu apunguze hasira zake kwa Jiwe. Nimepanga kuwakutanisha ili wamalize tofauti zao kwa amani [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hakuna kama sky eclat huyu dada Ni mkali wao yaani Ni wa moto linapokuja suala la uelewa kichwani kwake ni mchezo simple Kuna ma file mazito juu yake.kiukweli nampenda huyu mama wanawake wote igeni akili yake Ana material Sana mtafanikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
1615216160010.jpeg

Umenivalisha viatu vikubwa sana
 
Hakuna kama sky eclat huyu dada Ni mkali wao yaani Ni wa moto linapokuja suala la uelewa kichwani kwake ni mchezo simple Kuna ma file mazito juu yake.kiukweli nampenda huyu mama wanawake wote igeni akili yake Ana material Sana mtafanikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Napenda kukufahamisha kuwa Sky Eclat ni mke wangu halali wa ndoa....

Leo nimekusamehe, lakini siku nyingine uwe unaomba kibali cha kumwanzishia thread...

Kibali hicho nakitoa mimi mwenyewe orijinale...

1615216810285.png

Au mdogo wake mahabani Kasie Matata

1615216894494.png
 
Hasira kwa jiwe ni lazima ziendelee kwani ni janga kubwa la Taifa. Yuko kama mashangazi Maria Sarungi na Fatma Karume kwa hasira walizonazo kwa jiwe on top of that Sky Eclat is beautiful too.
Naam. Binti amepata exposure ya kukaa UK kwa zaidi ya miaka 10 na kuukwaa u-Kiduku Lilo unamtegemea aside na welewa mpana wa mambo mbalimbali?

Ila tu apunguze hasira zake kwa Jiwe. Nimepanga kuwakutanisha ili wamalize tofauti zao kwa amani [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Huyu Guantanamo Bay ilidizainiwa kwa ajili yake; anyweizs ngoja siku yetu iishe kwanza nimfumue in out hadi aruke huko kwenye sky
 
Back
Top Bottom