Nani kama Sugu?

matumbo

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Posts
7,224
Reaction score
3,951
...Wa kwanza kuuza tape mwenyewe, wa kwanza kufanya biashara na Wadosi, wa kwanza kwenda Ulaya kufanya show, 98 jukwaa moja na Oliver Mutukuz Sweden, wa kwanza kuleta wanamuziki toka America Lost Boys 98 mpaka wakaibiwa pete Diamond Jubilee, wa kwanza kuandaa albamu Ulaya, Nje ya Bongo alifanyia Holland peke yake albam nzima, wa kwanza kumiliki gari Honda kupitia muziki, wa kwanza kumshirikisha Jide, track Mambo ya fedha mwaka 2000, wa kwanza kuwa na albamu nyingi, albam 10 mpaka sasa, mbunge wa kwanza duniani zao la hip hop...

Nyakati zinakwenda... mengine malizia... Anaiwaza Mbeya muda wote.




Le Mutuz kaa mbali na hii namba......
 
Sugu alikuwa vizuri sana naamini kabisa siasa ina ua vipaji kabisa hata Jay anaweza kuacha mziki kabisa!
 
sema unachowezaa

fanya unavyowezaaa

mbona unashangaa

mambo ya feeeezaaaaa!!!

....mambo ya feezaaa.......
 
Kama haka kapare kenye make up kama jini, sijui kanamtaka....

huyu mal...aya japokua yupo ulaya lakini lazima atakua mchawi haki ya Mungu yani ana roho ya kishetani ya ushari shari tu hapendi amani kabisa maaamaae zake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…