matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,224
- 3,951
...Wa kwanza kuuza tape mwenyewe, wa kwanza kufanya biashara na Wadosi, wa kwanza kwenda Ulaya kufanya show, 98 jukwaa moja na Oliver Mutukuz Sweden, wa kwanza kuleta wanamuziki toka America Lost Boys 98 mpaka wakaibiwa pete Diamond Jubilee, wa kwanza kuandaa albamu Ulaya, Nje ya Bongo alifanyia Holland peke yake albam nzima, wa kwanza kumiliki gari Honda kupitia muziki, wa kwanza kumshirikisha Jide, track Mambo ya fedha mwaka 2000, wa kwanza kuwa na albamu nyingi, albam 10 mpaka sasa, mbunge wa kwanza duniani zao la hip hop...
Nyakati zinakwenda... mengine malizia... Anaiwaza Mbeya muda wote.
Nyakati zinakwenda... mengine malizia... Anaiwaza Mbeya muda wote.
Le Mutuz kaa mbali na hii namba......