Nani kama Sugu?

Nani kama Sugu?

GWM nilikuwa nawakubali vibaya sana .....huo wimbo (YAMENIKUTA) wakiwa na 2 Proud nilikuwa napenda sana verse ya KR lakini 2 proud pia aliua mbaya hasa anaposema ........."Yamenikuta mzee mwenzangu sina changu nabaki na machungu, Wanga wengi anga zangu, Ama zao ama zangu , Kiama chao ama changu" ...
 
Natamani mtu mzima Sugu aje achukue jimbo la Kino!..nimesikitika sana yani hadi Steve Nyerere kajipima kaona anatosha kutuwakilisha Kino!
 
Hivi unanijuwa kama wewe ni falla? Hapa anajadiliwa Sugu msanii Legendary wa Bongo fleva na siyo Baba Faiza, wewe Pimbi huna cha kujadili hapa kipindi hicho ulikuwa upo huko kwenu mashambani au unanyonya, wewe nenda You turn kwa Mange na mashangingi wenzio ndio level yako.
hahahaha umenikosha sana mkuu
pipo have to learn kutofautisha profiles
ubaba faiza na sugu unahusiana nn?
mjitu mingine bana dah
 
Si kujaza tu hata Sugu hajawahi kuimba live na kwa ufasaha nyimbo zote kama unavyozisikia kwenye Cd kama siku ile, hakugusa konyagi kabisa mpaka show inaisha. Alionesha nidhamu ya juu kwamba alidhamiria.
dah aisee unanifurahisha sana unavyoongea kwa proof
i owe u nothing than respect mkuuu
hakika ipo siku ntakuona physically
 
Back
Top Bottom