MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
GWM nilikuwa nawakubali vibaya sana .....huo wimbo (YAMENIKUTA) wakiwa na 2 Proud nilikuwa napenda sana verse ya KR lakini 2 proud pia aliua mbaya hasa anaposema ........."Yamenikuta mzee mwenzangu sina changu nabaki na machungu, Wanga wengi anga zangu, Ama zao ama zangu , Kiama chao ama changu" ...