unaujua mamangu trust me kama unakumbuka ile ishu ya mwamvita na huyo nsyukahuu ubuyu siujui...
duu aiseee anarepresent haiba na thinking capacity ya malimbukeni wengi sanaYani kuolewa na mzungu anajiona kama anaishi sayari nyingine
hahahaha umenikosha sana mkuuHivi unanijuwa kama wewe ni falla? Hapa anajadiliwa Sugu msanii Legendary wa Bongo fleva na siyo Baba Faiza, wewe Pimbi huna cha kujadili hapa kipindi hicho ulikuwa upo huko kwenu mashambani au unanyonya, wewe nenda You turn kwa Mange na mashangingi wenzio ndio level yako.
dah aisee unanifurahisha sana unavyoongea kwa proofSi kujaza tu hata Sugu hajawahi kuimba live na kwa ufasaha nyimbo zote kama unavyozisikia kwenye Cd kama siku ile, hakugusa konyagi kabisa mpaka show inaisha. Alionesha nidhamu ya juu kwamba alidhamiria.