Nani kama Sugu?

Nani kama Sugu?

Ni Sos P au Sos B?? Naikumbuka flow yake moja iko hivi.. Ni Sos B wama B, nafanya kwa bidii, Na wala sifuatilii mambo yako, peleka kule mambo yako tofauti na wenzako.... Yuko wapi huyu mtu?

nshasahau yaweza kua upo sahihi..ila najua anaitwa sostenes ambakisye...!!
enzi hizo kitambo sana..!!mshkaji kapotea mazima
 
nshasahau yaweza kua upo sahihi..ila najua anaitwa sostenes ambakisye...!!
enzi hizo kitambo sana..!!mshkaji kapotea mazima

Yah mnyambala huyu. Kitambo Sana. Kama Kuna mtu atafanya au ameshafanya compilation ya nyimbo za hawa jamaa kabla distortion haijaingia, ajitokeze aseme wapi tunaweza nunua alimradi Na wasanii nao watafaidika.
 
" Unaniuliza vipi? kwani vipi? unataka kuleta zako zipi ndani ya bongo"

Hii album naisaka sana aisee sijui nitapata wapi?
 
matumbo umenifanya nipande juu mti nikuambie hivi asante sana
leo nimekukubali noma nomaa kwa suguuuu
mana niko mwandoya huku 3G NI SHIIDAH ila imebidi ntafute network

"wanachotaka wewee upate tabuuu"
raha kidogo chuki bila sababuuu
najua mama hilo ntalikabili
najuq jeuri dawa yake ni kiburiiii..........!!!$

TWO PROUD HOYEEEERR LONG SAANASS BONGO HIII UR ONE &ONLY LEGENDSSS....!!
SAFFFFIII@matumbo.......

Ukikuta mwanamke anapenda hip hop basi ujuwe up stairs yuko vizuri. Hongera kwa hilo.
 
Last edited by a moderator:
Ukikuta mwanamke anapenda hip hop basi ujuwe up stairs yuko vizuri. Hongera kwa hilo.
mi bwana sugu,prof,balozi,inspector na wengi wa zamani nawakubali mnoo...
nna mp3 moja ya nyimbo za zamani tuu kuanzia 2005 kushuka chini baas japo nyingi nimezisahau ila kiukweli zamani bwana walikua wanajua sanaa ssa hv mziki biashara tu kuremba kwingi verse mbili na mistari minne tayari eti nyimbo imeisha...
yani wasanii wako hovyo bas tu ladha imeisha nimebaki kua shabiki ila sielewi wanachoimba siku hizi
napenda sana mziki wa zamani japo mie sio mkongwe kihvyoo ila enzi nakua nimemkuta mr.2,prof j,inspector,king sapeto,mr.paul nk
so hawa madogo wawaheshimi sana hao watu!
 
Ahahahaaaa G.W.M ndani ya nyumba na MR II
wazee wa GANG STARS WITH MATATIZO acha kabisa long sana hapa natabasamu tu yani

E-mamsap we, nipoze moyo mama, nimechanganyikiwa penzi lako la maana. Mapenzi si ugomvi mapenzi si uhasama. Nipe penzi nikupe hapa mimi ni salama.....

Fanani anaverse yake hapo katililika mbaya!!

BACK TANGANYIKA
dah acha tu nilikua naujua wote hapa kila nikirecall picha inagoma nakumbuka niliuandika huo kwenye daftari langu la primary woote...
enzi hizo nipo kino clan na sisy wangu mmoja hv tom boy flani amaizing hivii...!!!
daahhh...tunashusha mistari balaaa..
 
wazee wa GANG STARS WITH MATATIZO acha kabisa long sana hapa natabasamu tu yani

dah acha tu nilikua naujua wote hapa kila nikirecall picha inagoma nakumbuka niliuandika huo kwenye daftari langu la primary woote...
enzi hizo nipo kino clan na sisy wangu mmoja hv tom boy flani amaizing hivii...!!!
daahhh...tunashusha mistari balaaa..

Kumbe mtoto wa Kino? Unalikumbuka jisongi la Sugu ft Big dog pose kwenye korasi yupo Lady Jaydee nyimbo inaitwa muda mrefu?
 
Kumbe mtoto wa Kino? Unalikumbuka jisongi la Sugu ft Big dog pose kwenye korasi yupo Lady Jaydee nyimbo inaitwa muda mrefu?

yaani mie kino clan kitambo sana sema life limenitupa mabwepande tuuu ssa hivi
tena hilo kundi nilikua najaribu kulikumbuka BDP hao long sana daahh...hao siju wamefia wapi kwa sasaa...
 
nshasahau yaweza kua upo sahihi..ila najua anaitwa sostenes ambakisye...!!
enzi hizo kitambo sana..!!mshkaji kapotea mazima

jamaa (sos b) amejaribu kuwekeza...kafungua club mabibo external jina lake mwanzoni lilikua "le mambo" sasa hivi ina jina lingine nimelisahau kidogo..
 
jamaa (sos b) amejaribu kuwekeza...kafungua club mabibo external jina lake mwanzoni lilikua "le mambo" sasa hivi ina jina lingine nimelisahau kidogo..

dah hongera zake mshikaji kumbe ndo maana kaquit mziki....
 
Dunia ni ya ajabu sana kuacommodate wajingawajinga kama wewe.

Mumshukuru sana Nyerere wajingawajinga kama wewe saa hizi ungekuwa huko umbwindeni, wewe huna unalolijuwa katika maisha kuna watu wamezaliwa kwenye silver spoon family lakini wamefeli maisha, give a credit kwa kachaa Sugu. Na kwa taarifa yako mwenzio hapendi hata jina la muheshimiwa yeye anataka aitwe Sugu tu.

hahaha umenishambulia bure mkuu, labda hukunielewa, na maanisha watu kama kina sijui mange na huyo mbunge wa viti maalumu wanaotetea ujinga wa wazazi kutembea nusu uchi...da umenipa za uso..lol
 
dah hongera zake mshikaji kumbe ndo maana kaquit mziki....

yeah alikua ameajiriwa sehemu kajimake make akafungua club ingawa wengine wanasema aliiba ofisini lakini yupo vizuri...kwa club za hadhi ya kati "le mambo" ipo vizuri..
 
aiseeeehhhh...nyie watuuuu hadi raha ...
yamenikuta mzee mwenzangu
enzi hizo kila tamasha kubwa daimond jubileeee...

nauli yenyewe mia hamsini, bora nishuke chini, nikawe fiti kwa mapande ya mihogo kwa mama nitilieee, akanijazieee..ebhana weee....yamenikutaaaa

natamani sana kuisikia tena ile nyimbo..
 
...tunakandya sana,sometime tunacheza dili hatari sana!...MAJOBLESS!!
..na tunawaza sana mpaka mabichwa yanaongezeka upana!...MAJOBLESSJOBLESS!!
Dah,sijui wako wapi hawa machizi BDP aisee!
cc Matola geniveros
 
Last edited by a moderator:
Unazungumzia smart tv au? Kama smart tv ziko poa sanaa nazikubali picture yake iko clearly
 
Back
Top Bottom