Nani kamfadhili Mauzinde kwenda Canada?

Nani kamfadhili Mauzinde kwenda Canada?

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
1719254762407.png

Nifah na wanajf wenyeji wao mzito imekuwaje Mauzinde katua Canada bila masikio? Nani mfadhili? Kasema atafanya bonge la party ya kukatwa masikio.

Au kukatwa masikio ilikuwa mchezo ili apate ufadhili? Mbona ghafla jamani?

PIA SOMA
- Watu wasiyojulikana wamshambulia Mauzinde kwa kumkata masikio na kumtelekeza msituni

- Msanii Baby J na mwenzake Mauzinde watakiwa kukamatwa wakidaiwa kuandaa sherehe iliyokuwa na vitendo vya kuvunja maadili

- Zanzibar: Mwanaume afikishwa Mahakamani kwa kukata viuno hadharani
 
Nimeona clip yake akiwa kwenye ndege na 'vishikio' vyake. Ila bado sijapata uhakika kama ameomba hifadhi au anaenda kwa matembezi.

Kusema kwamba alikatwa masikio ili apate ufadhili sidhani, wapo waliopata hifadhi bila ya kutumia nguvu nyingi achilia mbali hiyo hatari ya kukatwa vipande vya masikio.
 
Mbona kama ni mtu mwenye tatizo la akili, imebidi nikam-gugu.
 
Nimeona clip yake akiwa kwenye ndege na 'vishikio' vyake. Ila bado sijapata uhakika kama ameomba hifadhi au anaenda kwa matembezi.

Kusema kwamba alikatwa masikio ili apate ufadhili sidhani, wapo waliopata hifadhi bila ya kutumia nguvu nyingi achilia mbali hiyo hatari ya kukatwa vipande vya masikio.
Hivi Yule mke wake alienda wapi?
 
Back
Top Bottom