King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Super Super Super RAINBOW.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashoga wote wana matitizo ya akiliMbona kama ni mtu mwenye tatizo la akili, imebidi nikam-gugu.
Na mwanamke aliyekubali kuolewa na uyu achunguzwe sio mzima kichwaniAlioa.alipewa mke kwa lazima akafungishwa ndoa. Siku mbili tu akakimbia anasema bwana eeh mb....Oro ...tamu
Mbona ndo wanaongoza kuwa sawa upstairs!! Usemee hao unao wajua wee au unao wafahamu ndo wako hivyoo. LolMwanaume akishakubali kuvutwa mbavu na kumwagiwa maji ya moto hawezi kuwa sawa upstairs.
Huwa wanaruka ruka wakidhani ndiyo wanawakomoa wanaowakosoa kumbe ndiyo wanazidi kujigeuza wehu.
Ni mpapai wanaume wenzie wanauparamiaWho is this guy.....in TID's voice
Akafanyie ushoga hukohuko, hapa sasa wakipatikana dawa yao ndiyo hiyo, wakatwe masikio wahamie wanakuwakubali.Walijua wanamkomoa kumbe ndio kwanza wamempa maisha bora, katuacha na vumbi letu
Alokwambia kakatwa masikio sababu ya ushoga nani? ana majambo yake yaliyopelekea kufanyiwa hivyo, na yeye akapita na fursa,Ajafanyie ushoga hukohuko, hapa sasa wakipatikana dawa yao ndiyo hiyo, wakatwe masikio wahamie wanakuwakubali.
Kisichafaa zuwia kwa mikono, kama huwzu zuwia kwa mdomo, kama huwezi basi kichukie ndani ya nafasi yako.
Naona kwa mikono imewezekana hapo, wamewaokoa watu wengi, sasa na yeye akiwa na akili atangaze mabasha zake na wao washughulikiwe.
Hata unachokisoma hukielewi?Alokwambia kakatwa masikio sababu ya ushoga nani? ana majambo yake yaliyopelekea kufanyiwa hivyo, na yeye akapita na fursa,
Akisema awataje mabasha usije ukazimia haya mambo ni ya kuyaacha tu
Daaaa nchi western na ulaya wana promote sana ushoga..mukute amepewa...hifadhi kama mkimbizi SA siku hizi wabongo masela wote wanajifanya mashiga wapewe hifadhi....kutoka ngumi jiwe sasa mashoga daaa dunia hiiii
Nifah na wanajf wenyeji wao mzito imekuwaje Mauzinde katua Canada bila masikio? Nani mfadhili? Kasema atafanya bonge la party ya kukatwa masikio.
Au kukatwa masikio ilikuwa mchezo ili apate ufadhili? Mbona ghafla jamani?
PIA SOMA
- Watu wasiyojulikana wamshambulia Mauzinde kwa kumkata masikio na kumtelekeza msituni
- Msanii Baby J na mwenzake Mauzinde watakiwa kukamatwa wakidaiwa kuandaa sherehe iliyokuwa na vitendo vya kuvunja maadili
- Zanzibar: Mwanaume afikishwa Mahakamani kwa kukata viuno hadharani
Kuthibitisha kama ni mashoga huwa wanapigwa miti!Vipi kama walidanganya ? 😂 Mzungu atathibitisha vipi kwamba huyu ni shoga kweli ? Maana nahisi wengine wamedanganya
Ana umwamba gani huyo jamaa?Yaani nimecheka mpaka nahisi usingizi mwamba baada ya kukatwa tumasikio amekuwa Kama bundi jike😃😃
Wewe mbona huwatangazi mabasha zakoAkafanyie ushoga hukohuko, hapa sasa wakipatikana dawa yao ndiyo hiyo, wakatwe masikio wahamie wanakuwakubali.
Kisichafaa zuwia kwa mikono, kama huwzu zuwia kwa mdomo, kama huwezi basi kichukie ndani ya nafasi yako.
Naona kwa mikono imewezekana hapo, wamewaokoa watu wengi, sasa na yeye akiwa na akili atangaze mabasha zake na wao washughulikiwe.
Ataomba hifadhilazima, Maana nimeona anasema Zanzibar ndo baibai. Huyo sidhan kama atarudiNimeona clip yake akiwa kwenye ndege na 'vishikio' vyake. Ila bado sijapata uhakika kama ameomba hifadhi au anaenda kwa matembezi.
Kusema kwamba alikatwa masikio ili apate ufadhili sidhani, wapo waliopata hifadhi bila ya kutumia nguvu nyingi achilia mbali hiyo hatari ya kukatwa vipande vya masikio.
Enzi zangu za ubahiria ku hustle nlipokuwa nje,nlikuwa nchi mojaHuyo shoga atapata hifadhi haraka sana, sababu ya msingi ni maisha yake yapo hatarini hapa tz.
Kuna wabongo wapo Canada wamepewa hifadhi baada ya kudai wao ni mashoga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliii!! Afu nimekumic mnoo Dear [emoji8][emoji8][emoji8]Walijua wanamkomoa kumbe ndio kwanza wamempa maisha bora, katuacha na vumbi letu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukute hadi mumewe akatajwaaa, afe kwa preshaa. LolAlokwambia kakatwa masikio sababu ya ushoga nani? ana majambo yake yaliyopelekea kufanyiwa hivyo, na yeye akapita na fursa,
Akisema awataje mabasha usije ukazimia haya mambo ni ya kuyaacha tu