chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Kuna uzi hapa umeandika mambo ya enzi ya JPM kwamba Mwamakula alikuwa anapata baadhi ya taarifa, na hata wakati mwingine alitumiwa mtu na JPM.
Hoja yangu imejikita pale aliposema baadhi ya taarifa zilikuwa classfied (za siri) asingeweza kuzitoa. Classified information zinalindwa na sheria ya usalama wa taifa, na ni wao tu ndio wanajua kipi kiko classified.
Mwamakula alijuaje hizo taarifa ziko classified? Nani alimwambia ziko classified? Je mwamakula na yeye ni kijitonyama kwa hiyo ana kiapo cha kutosema classified information? Ni kitengo ambaye ana jukumu la kuzuga uaskofu na upinzani dhidi ya serikali huku akiwachimba?
Je ni moja kati ya watu waliomuaminisha/Waliomchomesha Lissu hadi akaamua kupambana na wenzake kwa faida ya dola?
Mwamakula, could you please peel off the mask watu wakuone uhalisia wako?
N. B:
Nilishaomba clip ya Mwamakula akiwa kanisani, hakuna aliyefanikiwa kuileta hapa. Ila ana majoho ya kiaskofu