Nani kamuelewa Mwamakula? Kuna mada anasema kuna baadhi ya taarifa enzi ya JPM zilikuwa classified, asingeweza kuzitoa, alijuaje? Hebu avue kinyago

Nani kamuelewa Mwamakula? Kuna mada anasema kuna baadhi ya taarifa enzi ya JPM zilikuwa classified, asingeweza kuzitoa, alijuaje? Hebu avue kinyago

Kuna uzi hapa umeandika mambo ya enzi ya JPM kwamba Mwamakula alikuwa anapata baadhi ya taarifa, na hata wakati mwingine alitumiwa mtu na JPM.

Hoja yangu imejikita pale aliposema baadhi ya taarifa zilikuwa classfied (za siri) asingeweza kuzitoa. Classified information zinalindwa na sheria ya usalama wa taifa, na ni wao tu ndio wanajua kipi kiko classified.

Mwamakula alijuaje hizo taarifa ziko classified? Nani alimwambia ziko classified? Je mwamakula na yeye ni kijitonyama kwa hiyo ana kiapo cha kutosema classified information? Ni kitengo ambaye ana jukumu la kuzuga uaskofu na upinzani dhidi ya serikali huku akiwachimba?

Je ni moja kati ya watu waliomuaminisha " Waliomchomesha" Lissu hadi akaamua kupambana na wenzake kwa faida ya dola?

Mwamakula, could you please peel off the mask watu wakuone uhalisia wako?

N. B:
Nilishaomba clip ya Mwamakula akiwa kanisani, hakuna aliyefanikiwa kuileta hapa. Ila ana majoho ya kiaskofu
Mpeleke mahakamani
 
Nimpuuzi tu ndie atakae muamini.
Kama kweli yeye ni mtu mwema na asiye hofu, alipaswa haya ayasema kipindi cha JPM akiwa hai.... bladi hell....🤨
 
Jpm alikuwa anapamba na mfumo wake mwenyewe
 
Nimpuuzi tu ndie atakae muamini.
Kama kweli yeye ni mtu mwema na asiye hofu, alipaswa haya ayasema kipindi cha JPM akiwa hai.... bladi hell....🤨
Kwa hiyo hutaki kumwani askofu , maana mwandishi amechuka taarifa Toka kwake, na mch ni mutu ya organic
 
Kwa hiyo hutaki kumwani askofu , maana mwandishi amechuka taarifa Toka kwake, na mch ni mutu ya organic
Kwanini wayaseme ikiwa JPM ni marehem na hawazi kujitetea tena??
 
Wala haihitaji D3 kuwaelewa mch Mwamakula kama ilivyokuwa kwa Kipilimba hata kabla ya jiwe. Tunao wengi wa kaliba hiyo wanachunga kondoo na kushikilia ukuu wa vyama vya siasa na mashirika binafsi na umma.
Kabisa

Mwingine mkubwa tu kabila la moja la Mwamakula ila siyo yule msanii wa mazingaombwe.
 
Akiwemo askofu Ikoko na Anthony Lusekelo
Wala haihitaji D3 kuwaelewa mch Mwamakula kama ilivyokuwa kwa Kipilimba hata kabla ya jiwe. Tunao wengi wa kaliba hiyo wanachunga kondoo na kushikilia ukuu wa vyama vya siasa na mashirika binafsi na umma.
 
Viongozi wa dini wakubwa wote, waandishi wa habari hasa zile za kiuchunguzi wana taarifa nyingi za nchi. Busara inawaambia nini cha kusema na kuandika na nini HAKITAKIWI kwenda hewani, hi ni nchi yao/yetu na hawana/hatuna mahali pangine pa kwenda. Hata mambo ya nyumbani kwako (hasa kwa mwanaume, sio wavulana ) wanajua nini cha kukitoa nje ya familia na nini cha ku contain so sio kila mtu mwenye taarifa nyeti na hataki zitoke then huyo ni Usalama wa taifa.
 
Shida za hizi habari tangia zianze kila mtu source yake ni " niliambiwa"
Kwa sababu unataka source niliona wakati jambo sio la kuona na hawawezi kuona watu wote. Ila matendo actions yana-complement kusikia (verification). Kw sababu unataka kusoma mtu ameandika nilikuepo au nilifanya wakati unajua kabisa sababu ya ukatili wa matendo yake Hilo haliwezekani kabisa!
Unalazimisha lisilowesekana lisemwe wakati unajua kabisa haiwezekani! Sources za information zipo nyingi ikiwemo kuona au kusikia Kwa kuambiwa.
 
Back
Top Bottom