BRAZA CHOGO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 761
- 1,984
😄😄😄 we jamaa Fala sanaNdioooo! Hahaha, ila hata ganda la chungwa linaweza kuwa kubwa, labda ganda la sungwi
Mpeleke mahakamaniKuna uzi hapa umeandika mambo ya enzi ya JPM kwamba Mwamakula alikuwa anapata baadhi ya taarifa, na hata wakati mwingine alitumiwa mtu na JPM.
Hoja yangu imejikita pale aliposema baadhi ya taarifa zilikuwa classfied (za siri) asingeweza kuzitoa. Classified information zinalindwa na sheria ya usalama wa taifa, na ni wao tu ndio wanajua kipi kiko classified.
Mwamakula alijuaje hizo taarifa ziko classified? Nani alimwambia ziko classified? Je mwamakula na yeye ni kijitonyama kwa hiyo ana kiapo cha kutosema classified information? Ni kitengo ambaye ana jukumu la kuzuga uaskofu na upinzani dhidi ya serikali huku akiwachimba?
Je ni moja kati ya watu waliomuaminisha " Waliomchomesha" Lissu hadi akaamua kupambana na wenzake kwa faida ya dola?
Mwamakula, could you please peel off the mask watu wakuone uhalisia wako?
N. B:
Nilishaomba clip ya Mwamakula akiwa kanisani, hakuna aliyefanikiwa kuileta hapa. Ila ana majoho ya kiaskofu
😁😁😁😁😁😁 Mtajua hamjuiHii mahakama ya umma inatosha
Kwa hiyo hutaki kumwani askofu , maana mwandishi amechuka taarifa Toka kwake, na mch ni mutu ya organicNimpuuzi tu ndie atakae muamini.
Kama kweli yeye ni mtu mwema na asiye hofu, alipaswa haya ayasema kipindi cha JPM akiwa hai.... bladi hell....🤨
Kwanini wayaseme ikiwa JPM ni marehem na hawazi kujitetea tena??Kwa hiyo hutaki kumwani askofu , maana mwandishi amechuka taarifa Toka kwake, na mch ni mutu ya organic
KabisaWala haihitaji D3 kuwaelewa mch Mwamakula kama ilivyokuwa kwa Kipilimba hata kabla ya jiwe. Tunao wengi wa kaliba hiyo wanachunga kondoo na kushikilia ukuu wa vyama vya siasa na mashirika binafsi na umma.
Wala haihitaji D3 kuwaelewa mch Mwamakula kama ilivyokuwa kwa Kipilimba hata kabla ya jiwe. Tunao wengi wa kaliba hiyo wanachunga kondoo na kushikilia ukuu wa vyama vya siasa na mashirika binafsi na umma.
Kwa sababu unataka source niliona wakati jambo sio la kuona na hawawezi kuona watu wote. Ila matendo actions yana-complement kusikia (verification). Kw sababu unataka kusoma mtu ameandika nilikuepo au nilifanya wakati unajua kabisa sababu ya ukatili wa matendo yake Hilo haliwezekani kabisa!Shida za hizi habari tangia zianze kila mtu source yake ni " niliambiwa"