Nani kamziba mdomo Waziri wa Mambo ya Nje Mulamula, kulingana na kauli ya ahadi aliyotoa mwenyewe kuhusu uraia pacha?

Nani kamziba mdomo Waziri wa Mambo ya Nje Mulamula, kulingana na kauli ya ahadi aliyotoa mwenyewe kuhusu uraia pacha?

CCM inaogopa wakiruhusu uraia pacha waliopoteza mali zao baada ya mapinduzi ya Zanzibar na waliopoteza mali zao baada ya Azimio la Arusha watarudi kuzidai au watadai fidia. Hela na michango ya diaspora kwenye uchumi wanaitaka lakini uraia pacha kamwe hawatokubali.
 
Sasa hapo kuna context gani ya ziada?

Kuna kipi cha zaidi hapo?

Unajuaje sina context wakati alivyokuja Marekani nilikuwepo kwenye kikao na nikaona alivyokuwa vague akichekacheka mwanzo mwisho?

Unataka kuniambia serikali hii ya CCM ikitaka uraia pacha wabunge watashindwa kupitisha sheria?

Are you really falling for this bullshit unayoita context?
Saw Mkuu, it is bullshit indeed. Mbona nilisha admit tangu mwanzo kuwa we get bullish from our politicians?
 
Njoo huku binamu nshomile watz wapuuzi
IMG_20221006_221309.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom