Nani kapita hapa?

Nani kapita hapa?

Peruree ruleee ndanda boys peru peru ndanda boys.
2006-2008 kilimanjaro-mawenzi room 21 tuliita horizon deep.

Tv room mv bukoba .
Lecture room ukumbi wa Manchester.
Head Master ..Mzee Mmoja ivi (mlemavu flani)
Makamu nadhani alikuwa Sowone.
Makota G (rip)
Halafu kuna Muhidin (Mjahidina)
Kulikuwa na kimadam flani ivi kilikuwa laboratory, achana na mama tesha.

Yumba Kabobo,alikuwa mtata balaa

Nimepita hapo 2009-2011 tulipokelewa na Lulukila (Master) Bweni nililofikia Shelaton, Room Wanyama ( The Animals)

ktk vitu ninavyovikumbuka shule nzima ilikuwa na wanafunzi 976 kombi 9 ila walimu 13, yaan kila mwalim akipewa darasa lake hawaenei maana Form5&6 jumla ilikuwa madarasa 18.

Sowani (master) ndo tulimuacha, naskia sasa marehemu, Maticha vituko kama, Mpemba, Mkandawile, kuna mmoja tulikuwa tumamwita Niaje,

Daah Ndanda kuna mengi saanaa sita pasahau pale!!!
 
Ngoja nirudi kwenye thread ya shule yangu ya matombo
 
Nimepita hapo 2009-2011 tulipokelewa na Lulukila (Master) Bweni nililofikia Shelaton, Room Wanyama ( The Animals)

ktk vitu ninavyovikumbuka shule nzima ilikuwa na wanafunzi 976 kombi 9 ila walimu 13, yaan kila mwalim akipewa darasa lake hawaenei maana Form5&6 jumla ilikuwa madarasa 18.

Sowani (master) ndo tulimuacha, naskia sasa marehemu, Maticha vituko kama, Mpemba, Mkandawile, kuna mmoja tulikuwa tumamwita Niaje,

Daah Ndanda kuna mengi saanaa sita pasahau pale!!!
Lulukila alikuja baada ya kuhamishwa kwa milinga.
Milinga alikuwa mtu flani ivi brain ipo vizuri kinoma
 
Ndanda sec hapo miaka hiyo mkuu alikuwa Mwasi,makamu Mtauka,third master Ismail na academic master Bonge la mtu sasa ni marehemu.Ngoma kubwa ni lizangati
Wew tulisoma miaka inayofanana njoo pm
 
Mkuu miaka gani hiyo hahaaa...mie nilipita hapo mkuu akiwa jamaa fukani hivi anaitwa mlaponi, second Mzee hassan na third master gowelle, mengi nayakumbuka, ikiwa ni pamoja na source, kiwanda cha mawe na juice cha wabenedoctine, wasichana manesi warembo bila kilisahau lizngati hahaaa
Wewe njoo pm ulisoma ndanda na Mimi. Gowele 3rd masta wetu Yupo na Kasim majawa wizarani.
 
Ndanda boys daah kitambo sana nilipangwa hapo kusoma PCB, physics alikua anafundisha mmarekani Joseph chow (r.i.p) , chemistry Ka madam flani Ka kijapan (sikuwah kuelewa kitu kwenye pindi lake) afu bios mtu mzima ominde aka cha pombe
Niliona ndoto zangu ndo zinaishia hapo, likizo fupi nilibeba kila kilicho changu nikasepa home nikawaambia kuliko kurudi bora nikae mtaani
 
Mkuu miaka gani hiyo hahaaa...mie nilipita hapo mkuu akiwa jamaa fukani hivi anaitwa mlaponi, second Mzee hassan na third master gowelle, mengi nayakumbuka, ikiwa ni pamoja na source, kiwanda cha mawe na juice cha wabenedoctine, wasichana manesi warembo bila kilisahau lizngati hahaaa
Miaka ya 2001 mkuu ila Gowele ni katibu wa waziri now kipindi ninasoma alikuwa mwalimu wa kiswahili
 
Nimepita hapo 2001-2003, nakumbuka siku ya kwanza kufika hapo ilikuwa usiku nilivyoamka asbh nikaenda angusha Nazi kama 20 na kiziweka uvunguni mwa kitanda na kula moja baada ya nyingine. Nimeishi sana bweni LA mtandi
 
Mimi niliwepo pale ilulu
 
Ndanda boys high school.....2011-2013
Form 5 nilikaa shelaton
Form 6 nikakaa kilimanjaro
Head master wakati nafika form 5 alikuwa David Sowan(R.i.p Sir)
Form 6 akaja Head master mwingine wakuitwa Morega Mongate!!

Daah kusema ukweli life la ndada nimelimiss kimtindo
Mambo ya zombie time TV(DSTV) inawashwa from ijumaa after classes na kuzimwa j3 saa 12 asubuhi watu mnajiandaa kwenda paredi...noma sanaaa

Top layers
Chappel
Kanisan
Kwenda Madeko/Mandazi kuzurura
Kuchukua ruhusa ya kwenda Hospital hata kama hauumwi ili mradi kwenda kuwaona manesi wa chuo
Msimu wa maembe

Kunyauka na kunawili kwa kijani kibichi,mlima wa nyuma ya bweni la shelatoni

Inshu za misosi na kuosha dishi...
kung'ang'ania special table hata kama jina lako halipo katika watu wa special table

Kuwahi kuingia laboratory ili kuwahi switch za kuchaji simu badala ya siti(Form 5 Head master alikuwa anaruhusu simu shuleni though ilipofika form 6 zikakatazwa).

Lizangatii la ndanda na wimbo wetu maarufu kwamba Maji(mademu) chuo, ndanda tumekuja kusoma tuu!!

Daah noma sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Salute kwa wakongwe maana hapo naona kuna wengine mmepita pale since 2000's
 
Eeh kweli maisha yananakimbia na ardhi inameza watu sowani amekwishafariki aisee R. I. P

Nilimaliza ndabo2010 headmaster akiwa V. G. Lulukila one of the best story teller headmaster i had met he knows how to maneuver

BTW napakumbuka kwa vingi migomo, etc
 
Ndanda boys high school.....2011-2013
Form 5 nilikaa shelaton
Form 6 nikakaa kilimanjaro
Head master wakati nafika form 5 alikuwa David Sowan(R.i.p Sir)
Form 6 akaja Head master mwingine wakuitwa Morega Mongate!!

Daah kusema ukweli life la ndada nimelimiss kimtindo
Mambo ya zombie time TV(DSTV) inawashwa from ijumaa after classes na kuzimwa j3 saa 12 asubuhi watu mnajiandaa kwenda paredi...noma sanaaa

Top layers
Chappel
Kanisan
Kwenda Madeko/Mandazi kuzurura
Kuchukua ruhusa ya kwenda Hospital hata kama hauumwi ili mradi kwenda kuwaona manesi wa chuo
Msimu wa maembe

Kunyauka na kunawili kwa kijani kibichi,mlima wa nyuma ya bweni la shelatoni

Inshu za misosi na kuosha dishi...
kung'ang'ania special table hata kama jina lako halipo katika watu wa special table

Kuwahi kuingia laboratory ili kuwahi switch za kuchaji simu badala ya siti(Form 5 Head master alikuwa anaruhusu simu shuleni though ilipofika form 6 zikakatazwa).

Lizangatii la ndanda na wimbo wetu maarufu kwamba Maji(mademu) chuo, ndanda tumekuja kusoma tuu!!

Daah noma sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Salute kwa wakongwe maana hapo naona kuna wengine mmepita pale since 2000's
Mkuu shelaton enzi zetu walikuwa wanakaa mabinti, pale darajani ndo palikuwa mwisho wa kusindikiza! Uwanja wa basket palikuwa maarufu kutongezea, machalii wa ilulu walikuwa wakipiga chabo mademu wakitokea shelaton! Unenikumbusha msimu wa maembe mkuu, unabadilisha ndoo ndogo ya maembe na sahani ya ugali kwa top layer! Mpishi maarufu Mzee mwambe....
 
Noma sana Mkuu!
 
Nimepita hapo 2001-2003, nakumbuka siku ya kwanza kufika hapo ilikuwa usiku nilivyoamka asbh nikaenda angusha Nazi kama 20 na kiziweka uvunguni mwa kitanda na kula moja baada ya nyingine. Nimeishi sana bweni LA mtandi
Mkuu ulikuja na akida au Santorin hahaaa, mie mwenyewe kwa mara ya kwanza nilitoka dar nikaingia ndanda siku ya tatu usiku, barabara ya kusini wakati usiombe angalau manyunyu yanyeshe utaishia kula samaki nangurukuru hhaaa
 
Back
Top Bottom